Swali la Uelewa: Naibu Waziri Masauni hakuhusika na sakata lililowaondoa Lugola na Balozi Kingu Mambo ya Ndani?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,173
25,446
Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.

Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
 
Kwanza hawa wote wamesamehewa kwa kupewa vyeo vingine kama tulivyozoea kwenye nchi ya wanyonge,pia jiwe ameogopa kuwadhalilisha wapemba yaani muungano utatikisika
 
Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.

Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
Tutashuhudoa mengi kuelekea uchaguzi mkuu
 
Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.

Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
Ukiweza kunuonyesha sentence japo moja kutoka kwenye media inayomlaumu Mama Samia Suluhu kuhusu uongozi wa awamu ya 5 nitakutajia sababu lukuki kuhusu ni kwanini manaibu mawaziri ni nadra sana
kuwajibishwa.
 
Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.ka

Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?
Kwanza tutajuaje ukweli wa allegations zenyewe?

Ikiwa Rais amezuia safari zote za nje isipokuwa kwa kibali chake

Swali la kujiuliza hao kina Lugola si walienda huko nje kwa kibali chake, tena wakimpa details za kile wanachokwenda kifanya huko ughaibuni?

Iweje sasa awageuke na kuwakana kabisa hadi awatumbue?

Hii unaweza iingiza katika kile kitabu cha Guiness wonders of the world!
 
Ukitazama kutenguliwa kwa Waziri na Kamishna Jenerali wa Zimamoto pamoja na kujiuzulu kwa Katibu Mkuu, ni kama uongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani umewajibishwa.

Naibu Waziri Masauni hakuhusika popote na kwa vyovyote na wala kuwajibika kwa hilo? Amebaki vipi ikiwa sakata ni la kiwizara?

Huyu waziri alibaki hata wakati wa Mwigulu sababu ni kwamba ni usalama na yeye ndiye mtoa siri zote hawezi kufukuzwa.
 
Hivi mtu akiwa mnyetishaji hapaswi kupewa uwaziri kamili ?
Maana jamaa yupo toka Kitwanga, Mwigulu na hatimaye Kangi.... Yeye ana survive tu
Sasa si apewe nafasi ili ku rekekebisha mambo ?
Au kuna wakati kunyetisha ni muhimu kuliko kunyoosha mambo ?
 
Naibu waziri hana kitu wanam bypass tu, labda ukute wanaelewana sana na waziri ndo anaweza shirikishwa.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom