johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,131
- 164,549
Kwa kipindi kirefu makanisa haya yamekuwa yakiendesha semina za ujasiriamali kwa waumini wao.
Sasa hali ya matoleo(sadaka) imepungua sana kutokana na mwenendo wa uchumi na hata hawa waumini imekuwa ngumu kujiajiri.
Je, hakuna uwezekano makanisa haya ya kilokole ambayo yamesheheni wajuzi wa production lakini yanayumba kimapato ama yaanzishe viwanda au yageuke kuwa viwanda vidogo bila kuathiri imani zao?