tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Jana nashukuru baada ya hotuba ya Freeman Mbowe kumalizika, nilikutana na katibu CCM itikadi na uenezi, kama kawaida hakosagi neno, sambamba na utani wake kwangu, akaniuliza"
" Tumemsikia Freeman Mbowe akisema malaika kama utamwingiza ndani ya CCM baada ya mwezi tu hubadikika na kuwa shetani,!! Sasa iweje yeye ampokee Lowassa aliyekaa CCM toka 1977, huyo Lowassa si atakuwa ameshabadilika sio shetani tena bali JINI."
Nilikosa jibu! Kama ingekua wewe ungemjibu nini?