Swali la Mwalimu Richard Mabala

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
946
Maendeleo

Mtu tajiri ana kila kitu. Ana malori kibao n.k. Nyumba ya fahari. Mke anapewa kila aina ya chakula na nguo. Lakini haruhusiwi kutafuta kazi ingawa anapenda. Na jamaa akitia tungi zake, anamtwanga kila mara na kusababisha majeraha ya kudumu.

Mke ameendelea?
 
Back
Top Bottom