Swali la msingi kwa wapenzi. . . . .

MagicM

Member
Sep 19, 2011
80
7
Ni kwl mapenzi yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwapo wapenz wapo wanaopendana kwa dhati na wanaodanganyana 2 ili siku ziende . . . . . . .

Ila swali la msingi kwa wapenzi hawa ni. . . . . .
Je tuko wangapi ? Na ukigundua mko zaidi ya mmoja utachukua hatua gani au na we UTATULIZANA. . ? ?
 
Ukigundua mko wengi dawa ni kupima ili kujua kama umeshaunganishwa kwenye megawatt au la!!
 
Back
Top Bottom