Oh nimeona ulichoandika.
Sasa kwa nini walikupa ban wakati mimi hilo Richard Mugizi wala sio jina langu?
Hahahahaaaa hawa jamaa bana.
Mi siitwi Richard Mugizi.....
Mweeh siwezi uliza mtu hivoo..na nikiulizwa wl js say I really can't talk abt that..it's personal
S ndo hapoMtazamo wako ni kama wangu.
I'm like..why the hell do you wanna know?
Good grief!
[emoji3]Hajue = ajue
swissyou
Sahihi kabisa, inawezekana mwanae alikuwa na tatizo hilo wakati anakua. Labda anahisi tatizo bado linaendelea
wewe ulijuaje hilo swai linaulizwa?
Mama ana haki ya kujua status ya mwanawe ili hata kama ni issue za kumsaidia apate pa kuanzia!
Mama lazima hajue na kuji proud kuwa yuko na kijana mkamilifu na ndio maana wewe hapo kakuona uchi ukiwa na umri 1--13
VIPI HAUPELEKI MAMBO NINI mbona no confidence.
swissme