watu tunatofautiana dear wala usijali comments zangu mie nisiofagilia reception zenye maua na marangi rangi...
Bado kuna sifa nyingi za ziada zinazoweza fanya watu wavunje shingo i.e miguu, hips, wo wo wo, chakula kizuri cha mtoto kamili, Singa kichwani...Ambavyo hata mrembo akiamka bado vipo Intact!