Swali la kizushi!

we guys can't be like you gals. y'all are supposed to look sharp 24/7. to me if you look a hot steaming mess even once, i dump you. have you ever been dumped?[/QUOTE]
You must be fake Julius.
 
Kui, dear afadhali umewaambia ukweli ingawa ni kizushi zushi lakini ina ukweli ndani yake jamani ama sio? Yaani hata mimi nilikuwa najiuliza siku zoote hizo kweli yaani wanatuonea hawa, mi namjua mmoja niliwahi kumuona ametoka kuamka yaani utadhani kaibiwa milioni moja na kibaka kariakoo, kisha akashindwa kumpata!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kui, dear afadhali umewaambia ukweli ingawa ni kizushi zushi lakini ina ukweli ndani yake jamani ama sio? Yaani hata mimi nilikuwa najiuliza siku zoote hizo kweli yaani wanatuonea hawa, mi namjua mmoja niliwahi kumuona ametoka kuamka yaani utadhani kaibiwa milioni moja na kibaka kariakoo, kisha akashindwa kumpata![/QUOTE]

duh yaani this made my day..senksi!!! hapo pa red!
 
Ukitaka kuona uzuri wa mwanamke mvizie anapo amuka ukiona hana matongo tongo machoni huyo sio mzuri ukiona hana udenda kwenye shavu huyo mbaya bana.
 
Well, you guys need to look the same too, sio mnaachia vitambi visivo na mbele wala nyuma, sometimes you can't even tell what's the behind and what's the front.

Ha ha ha!mmh sijui Boss hapa atasemaje,umemgusa...Kitambi kikubwaaaaaaaaaa.
 
Guys, mnaposema kwamba mnataka mwanamke ambaye akiamka asubuhi afanane kama anapokuwa anaenda out, like clubbing or on a ceremony, what d' you mean? when you guys wake up especially in the morning do you usually look like you're already brushed up and ready to go? If that's not the case then, how d' you expect us to look gorgeous and sharp as soon as we wake up, which y'all know that, it's impossible? ( Halafu you guys are the ones who look terrible when you just wake up, mnakuwa kama mmetoka kupigana)

Weekend njema!

watu tupo tofauti..
mimi napenda natural beauty..
napenda zaidi mwanamke anapokuwa
ametoka kuoga,bila ma make ups yoyote....
i usually enjoy women after having a shower pamoja.
 
Haaa haaa before promising anything to a woman......request her to wash her face and see the originality!

...:D exactly!
unakutana na mtu kajikandika 'mapochopocho' usoni utadhani mdoli,

-nywele feki
-nyusi feki
-macho feki
-rangi ya uso feki
-rangi ya mdomo feki
-beauty-spot feki

No wonder kwenye udugu wa shuka anaendeleza 'usanii' vile vile!
 
Haaa haaa before promising anything to a woman......request her to wash her face and see the originality!


Mhhhh! What if she refuse to do so!?

11526313.gif
 
...:D exactly!
unakutana na mtu kajikandika 'mapochopocho' usoni utadhani mdoli,

-nywele feki
-nyusi feki
-macho feki
-rangi ya uso feki
-rangi ya mdomo feki
-beauty-spot feki

No wonder kwenye udugu wa shuka anaendeleza 'usanii' vile vile!

Du nyie wanaume wa ajabu sana mkimuona mdada hajafanya yote hayo hata hamumuangalii iweje leo ,mambo ya uzuri wa foundation kila sekita
 
ahh wakati mwingine unadhani watu wanafikiri kikwelikweli wakati mwingine unasema wanatumia ubongo lala wakati mwingine wanachemka. kama amelala akaamka halafu anakuwa kama anakwenda out huyo lazima awe mchawi alikuwa anakuwangia ndio maana yuko sharp yuko bomba au jambazi au kikwekwe cha aina fulani adhawaizi ukitoka usingizini lazima uwe umetulia na una nishati mpya na lazima usdshake kidogo kupata utaratibu mpya wa siku hiyo.umetoka kupumzika bwana hukutoka kufanyakazi. Mwili laizma upumzike na ukipumzika wakati wa kurudi unarudi taratibu kama ulivyopumzika taratibu.;Anayekutaka hatazami makonzi anatazama matunda ya kuwa nawe ubavuni ha :eek:ha ha haha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom