Swali la kizushi!

Du nyie wanaume wa ajabu sana mkimuona mdada hajafanya yote hayo hata hamumuangalii iweje leo ,mambo ya uzuri wa foundation kila sekita

its real hard to undersdtand men
waache tu hivo hivo.............hawana jema hawa
 
Mhhhh! What if she refuse to do so!?

11526313.gif

Mkuu akikataa just kimbia kwa miguu miwili....usisimame
 
Du nyie wanaume wa ajabu sana mkimuona mdada hajafanya yote hayo hata hamumuangalii iweje leo ,mambo ya uzuri wa foundation kila sekita

...Ooohh pole!,

watu tunatofautiana dear wala usijali comments zangu mie nisiofagilia reception zenye maua na marangi rangi...

Bado kuna sifa nyingi za ziada zinazoweza fanya watu wavunje shingo i.e miguu, hips, wo wo wo, chakula kizuri cha mtoto kamili, Singa kichwani...Ambavyo hata mrembo akiamka bado vipo Intact!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom