Swali la kizushi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la kizushi??

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Konaball, Feb 1, 2010.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 2,130
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Wanawake neno kaa vizuri lina maana mbili
  1-mchana ukimwabia kaa vizuri anabana mapaja
  2-usiku ukimwambia kaa vizuri anapanua mapaja. lipi ni sahihi? naomba jibu
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  jibu sahihi linategemea muda na mahali
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,936
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  MH!!! kamanda nina wasi wasi na unachotaka kumaanisha hapa kama ni cha kweli, jaribu kufafanua vizuri ama laa linaweza kuwa tusi kubwa sana hasa kwa mtu muhimu sana kt maisha yako (MAMA). Umefanya utafiti kweli? maana hujaweka mipaka ktk maelezo yako umesema wanawake including dada zako,mama yako na wengineo. Kw hiyo unataka kuniambia ukikaa na MAMA yako( akina mama mtaniwia radhi nawaheshimu sana) mchana akiambiwa kaa vizuri, anabana miguu, ukimwambia usiku ....?. Ingekuwa sahihi ungefafanua kwa kusema ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimwambia akae vizuri mchana atabana miguu, usiku atachanu na sio usiku tuu kwani hayo mambo yanafanyika hata asubuhi au mchana ungesema mkiwa FARAGHA ukimwambia akae vizuri atachanua. WAsitiri basi MAMA na Dada zetu bana.
   
 4. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,506
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kati ya majibu yako, nadhani ungeongeza na "nani" anaambiwa hivyo. Na je, sisi wanaume tunaambiwaje? Au tunaambiwa "karibu"?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...