Swali la kizushi siku zote linakuwa linaukweli ndani yake linajipambanua kutoka uwongo na kujibiwa kuupata ukweli. Nadhani sisi sote tunataka kuijenga Tanzania moja na haina maana kugombea fito au sio mkuu.........
ahali yangu.
Chadema si chama cha kisiasa bali ni chama cha udugu, ukabila na udini.
Wao siku zote wanafakiri muafaka zanzibar ulitokea hivihivi tu bila cuf kufanya kazi ya ziada visiwani kwetu na matunda ndio haya tunayaona.
Nina imani chadema hawawezi hata kidogo kuleta mabadiliko huku bara peke yao bila kushirikiana na wenzao wa upi.nzani.
Chadema kidole kimoja hakivunji chawa. Unganeni mlete mabadiliko ya kweli.
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo mbalimbali ya kimapinduzi na kisiasa.
Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.
Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.
1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?
2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.
..
Mohammed H. Shossi
Safarini Ngamiani,
ndugu tatizo cuf tangia mwanzo wamejipambanua kama wana ccm b. unakumbuka hata bungeni jamaa alisema kwa vile kuna muafaka znz basi najitoa kuunga mkono ccm. mwanza uchaguzi wa umeya cuf waliwaunga mkono ccm. kama ndivyo chadema watafanyaje kazi na chama tawala chenye sura mbili? je slaa anaweza kukutana na seif wapange mikakati? napendekeza mrema ashirikishwe kwa vile tlp imewaunga chadema mkono sana hasa arusha na moshi
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo mbalimbali ya kimapinduzi na kisiasa.
Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.
Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.
1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?
2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.
a) Je kwa katiba iliyopo Zanzibar ikitokea one day YES kwa CDM wakashinda wao na kufuatiwa na chama kingine cha pili mtaunda serikali ya zanzibar peke yenu?
b)Je ikitokea siku moja mkashika nafasi ya pili Zanzibar na katiba inasema kuna Serikali ya kitaifa mtakubali ku join hands na walioshinda ili kuwatumikia wananchi?
Nina maswali mengi lakini hayo ni yamsingi mengine ya nyongeza yatakuja baada ya kujibiwa hayo maswali.
Naomba kuwakisha na kutoa shukrani zangu za awali kwa majibu yenu mazuri na yenye kunifanya niwe huru na haya maswali yanayoniumiza kichwa tangu mlipotoa tamko kuhusu kuwashirikisha CUF na vyama vingine kwenye KUB.
Mohammed H. Shossi
Safarini Ngamiani,
Mohamed I am sorry for what I have to say! Listen to yourself! Wakati wadau husika watakupa majibu naomba kushauri kuwa uulizaji maswali kwa jinsi hii sio constructive hata kidogo. Kuna waJF wengi wangehitaji kushiriki kukupatia majibu ya maswali yako. Vile vile inaonyesha kwa fikra zako kuwa CDM nin hao uliowataja! Tukiacha vyama mbali tuwe tunajadili vitu kwa mustakabari wa kitaifa irrespective ya hoja imetoka CUF, CDM au CCM etc
Tukiachana na hayo naomba umnifafanulie; Ktk swali la kwanza unaamanisha nini unapouliza kama CDM itashirikisha vyama vingine (naamini ndani ya kambi ya upinzani). Je una tatizo lolote na kanuni ya bunge kuhusu uundwaji kambi ya upinzani? Sijui kama unaelewa kuwa kuna tofauti kati ya vyama vya upinzani kutokidhi viwango vya kuunda kambi ya upinzani aidha kama chama kimoja au hata kwa kushirikiana pamoja? Je kwa vyama vingine kutokuwa ndani ya kambi ya upinzani vitakuwa vimepungukiwa nini?
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo mbalimbali ya kimapinduzi na kisiasa.
Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.
Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.
1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?
2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.
a) Je kwa katiba iliyopo Zanzibar ikitokea one day YES kwa CDM wakashinda wao na kufuatiwa na chama kingine cha pili mtaunda serikali ya zanzibar peke yenu?
b)Je ikitokea siku moja mkashika nafasi ya pili Zanzibar na katiba inasema kuna Serikali ya kitaifa mtakubali ku join hands na walioshinda ili kuwatumikia wananchi?
Nina maswali mengi lakini hayo ni yamsingi mengine ya nyongeza yatakuja baada ya kujibiwa hayo maswali.
Naomba kuwakisha na kutoa shukrani zangu za awali kwa majibu yenu mazuri na yenye kunifanya niwe huru na haya maswali yanayoniumiza kichwa tangu mlipotoa tamko kuhusu kuwashirikisha CUF na vyama vingine kwenye KUB.
Mohammed H. Shossi
Safarini Ngamiani,
1.Kwa ninavyojua mimi cdm hawana mpango na siasa za Zanzibar maana siku za karibuni muunganiko huo wa nchi za Zanzabar na Tanganyika utavunjika na hivyo kila nchi iwe kivyake. Hivyo kuhusu malengo ya cdm Zanzibar kama yalivyo kwa watanganyika wengi wenye maono ya mbali ni kuomba Mola hilo limuungano lifilie mbali.
2. NCCR,UDP hawatashirikishwa maana wameshirikiana na cuf ambapo pia cuf inashirikiana na ccm kutawala znz.hivyo nao kwa kujiunga na cuf wamekuwa sehemu ya utawala wa znz. Kama wanataka waombe nafasi za uongozi huko nchi ya znz.
3. CDM wanawatendea haki wa-znz kwa kuwa kwa cuf kujifanya kuwa sehemu ya utawala imefanikisha azma ya serikali ya smz kutokuwa na chama cha kuihoji kwenye baraza la wawakilishi hivyo cuf wameungana na ccm kuendeleza serikali ambayao haitakuwa na wa kuihoji wala kuwajibisha. cdm wamechelea kuungana na watu wanaowaza kutawala tu na si kuwaza maisha ya wenye nchi ambayo yanaendelea kuwa duni kila uchao!
4. cmd hawana mpango wa kuunda serikali huko znz kama nilivyokwisha eleza haka kamuungano soon katakolapsi!
5. Uwe unafikiria kabla ya kuandika maana inaonekana majibu mengine unayajua bayana ila basi tu hautaki kukubali ukweli.
Wasalaaa..safarini Raskazone!
Ndugu Shosi,
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri bila kutawaliwa na jazba zozote, hiyo ni kukomaa kwa democrasia na elimu ya siasa.
Kama mwana CDM naomba nitoe ufafanuzi ufuatao nikirejea kauli za mwenyekiti wa CDM.
Ni kweli kuungana ni jambo la msingi kabisa kwa kuwa umoja ni nguvu, lakini mkishakuwa na mawazo tofauti muungano huo haukawii jukwaa la kulaumiana.
Kuna mambo ya msingi ambayo CDM inayaamini katika muungano huu, kama utakumbuka mara tu baada ya uchaguzi CDM walikuwa tayari kuungana na CUF bungeni, lakini ni hao CUF ndio waliotoa masharti ya kuungana nao likiwemo la kutataka yawepo vyama vingine kama TLP,NCCR na UDP;
Kama unavyofahamu wakati wa uchaguzi vyama vyote hivyo vilikuwa vikiiandama CDM badala ya chama tawala, mfano hujuma iliyokuwa ikifanya na mwenyekiti wa TLP na NCCR-Mageuzi katika majimbo ya Kawe na Vunjo na vile vile kumwandama mgombea urais wa CDM kwa mambo yake binafsi ile hali wakiiunga mkono CCM wazi wazi. Na hadi sasa NCCR wamefungua kesi mahakamani dhidi ya Chadema na Mbunnge wake wa Kawe, sasa haiwezekani kushirikiana na Chadema kwani tayri kuna tofauti nyingi ambazo ainaweza kutumika kuihujumu CDM.
Jambo jingine ni kwamba, Mara tu baada ya uchaguzi wabunge wote wa upinzani isipokuwa CDM wamekiunga CCM mwanzo mwisho katika uchaguzi wa spika na wawakilishi mbali mbali wa bunge la Tanzania nje ya nchi. Sasa leo wanataka kushirikiana na CDM kwanini wakati mwanzoni walikataa na kuonyesha ushirikiano na CCM. kama haitoshi hata kwenye maeneo ya mengi katika uchaguzi wa mameya CUF na NCCR wameendelea kuiunga mkono CCM na bado wanataka kushirikiana na CDM ili iweje?
Hata kwenye mazungumzo yao na waandishi wa habari viongozi wa CUF na NCCR wamekuwa wakionyesha dhahiri kutokuunga mkono CDM mfano kwanye midahalo mingi hawa jamaa wamekuwa wakiiandama sana CDM kuliko hata chama tawala ambacho ndio imetufikisha hapa, mfano Prof Lipumba alivyomshambulia Dr. Slaa, Hamad Rashid katika mdahalo na Mbowe alionyesha wazi wazi kukiandama CDM.
Sasa hizi baadhi tu ya mambo ambayo kila mtu anyafahmu tukiacha mengine yaliyofichika.
Kuhusu ushirikiano Zenji, Serikali ya Umoja wa Kitaifa mimi sina tatizo na ushirikiano wa CCM na CUF, ila naamini hauna tija kwa wananchi kwa sababu CCM ndio wanaoongoza wazanzibari, ila kama CUF walikuwa na nia ya kupata uongozi watakuwa wamefanikiwa lakini kama nia ni kuwakomboa wazanzibari bado sana, maana CUF hawawezi wakatumia ilani yao ya uchaguzi.
Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa itakuwepo na itaongozwa na CCM miaka yote, wameshawadanganya wazanzibari mpaka watakapobadilisha katiba ndio CCM watatoka madarakani kwani mimi naamini hata uchaguzi wa majuzi maalim alishinda lakini walimbana tu kwa hicho kipengele ili awe makamu wa kwanza wa Rais.
Mimi naami Democrasia ya kweli si kuunganisha vyama bali kuwa na vyama vichache vyenye nguvu ili kuweza kuwashawishi waTZ na hatimaye kuwaletea wananchi mabadiliko ya kweli na si kama wanavyotaka CUF.
Huwezi kukijenga chama chako kwa kukiunganisha na vyama vingine hata kidogo kwani kwa kufanya hivyo unakaribisha mivutano isiyo ya lazima.
Mimi nafikiri wanachama wa CDM tumejifunza mengi kutoka kwa vyama vya upinzani, kwani vina malengo ya kutaka kuimaliza CDM kisiasa kwa kujipenyeza ndani ya CDM na kuanza kuleta choko choko, Embu fikiria kama mtatiro anaongea vile utafikiri kuna haki yake iko CDM unategemea nini.
NAsema Hii haikubaliki, mungu ibariki CDM, Viongozi wake na Wanachama wake na WaTZ kwa ujumla.
Mohammed,
Nimependa hali yako ya kustahimili munkari wa ghadhabu, TULIA NA JIBU KIUNGWANA ILI DHAMIRA YA THREAD YAKO ISIPOTOKE/ISIPOTOSHE.
Sikuwahi kuona unatuma threads za siasa ila leo nimeshangaa na nimefatilia how capable you are on responding to the allegations.
Pia tungo yako ya shairi kuusia (uungwana na kuepusha hasira/matusi) zimenivutia saana, maana wewe ni champion wa jukwaa lileeeee la...?
May be I am out of point, chadema walitakiwa sana kuumiza akili issues za CUF na hasa zanzibar, napata wasiwasi kazi itakuwa kubwa sana ya ukombozi endapo upande fulani hausaidii kwenye mabadiliko , any way, CDM wanalenga nini kuhusu maslahi ya taifa? sio mikoa fulani

ndugu! elewa kwamba mfumo wa GNU unatokomeza upinzani popote duniani ndio maana wanaharakati wengi sio wahubiri wa huo mfumo.
mimi sio msemaji wa chama ila najiuliza siku ya maandamano ya CUF Maalimu Seif atakuwepo? atadai kipi serikalini wakati yeye ni pati ya serikali? je CUF ni chama cha upinzani TANZANIA (Kumb: Zanzibar ni sehemu ya TZ)? who is watch dog wa zanzibar kama sio akina JAHAZI ASILIA na wenzake?(mtatiro with time ataingia CDM as he is great thinker alihofia kuwa atakosa uongozi ndani ya CDM given that idara zote za CDM zilishapata vijana machachari kwa hiyo the only chance was CUF)
majibu ya maswali yako unayo kabisaaaa. HUITAJI UFAFANUZI wa vigogo wa CDM