Swali la kizushi kwa Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, Mkumbo na Wanachadema

Swali la kizushi siku zote linakuwa linaukweli ndani yake linajipambanua kutoka uwongo na kujibiwa kuupata ukweli. Nadhani sisi sote tunataka kuijenga Tanzania moja na haina maana kugombea fito au sio mkuu.........

Nenda zako hatuko hapa kusoma uzushi bali muelekeo wa Tanzania tunayoitaka.
 
ahali yangu.

Chadema si chama cha kisiasa bali ni chama cha udugu, ukabila na udini.

Wao siku zote wanafakiri muafaka zanzibar ulitokea hivihivi tu bila cuf kufanya kazi ya ziada visiwani kwetu na matunda ndio haya tunayaona.

Nina imani chadema hawawezi hata kidogo kuleta mabadiliko huku bara peke yao bila kushirikiana na wenzao wa upi.nzani.

Chadema kidole kimoja hakivunji chawa. Unganeni mlete mabadiliko ya kweli.

hafifu waache wenye wazo la kuchangia wachangie, nyie vijitu vipi
 
ndugu tatizo cuf tangia mwanzo wamejipambanua kama wana ccm b. unakumbuka hata bungeni jamaa alisema kwa vile kuna muafaka znz basi najitoa kuunga mkono ccm. mwanza uchaguzi wa umeya cuf waliwaunga mkono ccm. kama ndivyo chadema watafanyaje kazi na chama tawala chenye sura mbili? je slaa anaweza kukutana na seif wapange mikakati? napendekeza mrema ashirikishwe kwa vile tlp imewaunga chadema mkono sana hasa arusha na moshi
 
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo mbalimbali ya kimapinduzi na kisiasa.

Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.

Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.

1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?

2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.

..
Mohammed H. Shossi

Safarini Ngamiani,

Mohamed I am sorry for what I have to say! Listen to yourself! Wakati wadau husika watakupa majibu naomba kushauri kuwa uulizaji maswali kwa jinsi hii sio constructive hata kidogo. Kuna waJF wengi wangehitaji kushiriki kukupatia majibu ya maswali yako. Vile vile inaonyesha kwa fikra zako kuwa CDM nin hao uliowataja! Tukiacha vyama mbali tuwe tunajadili vitu kwa mustakabari wa kitaifa irrespective ya hoja imetoka CUF, CDM au CCM etc

Tukiachana na hayo naomba umnifafanulie; Ktk swali la kwanza unaamanisha nini unapouliza kama CDM itashirikisha vyama vingine (naamini ndani ya kambi ya upinzani). Je una tatizo lolote na kanuni ya bunge kuhusu uundwaji kambi ya upinzani? Sijui kama unaelewa kuwa kuna tofauti kati ya vyama vya upinzani kutokidhi viwango vya kuunda kambi ya upinzani aidha kama chama kimoja au hata kwa kushirikiana pamoja? Je kwa vyama vingine kutokuwa ndani ya kambi ya upinzani vitakuwa vimepungukiwa nini?
 
Angalia swali la kwanza na la pili vizuri halafu jibu kutokana na hoja ikiwa huna basi si lazima.

Shukran ila si vibaya nikakupa hiki kisa kidoooogo

quote_icon.png
Originally Posted by Mohammed Shossi

Siasa za afrika ni kama sarakasi
Wakubwa nacheka na kugonga glass
Wanyonge wanaumia na kula nyasi
Wanatuhadaa tunawapa uongozi kwa makaratasi
Uchaguzi ukimalizika wanatuasi
Kwa ari wanatuibia kwa kasi
Lini mtakaa mkaona huu uasi?

Kwenye picha wancheka kwa bashasha
Kwenye mikutano wansema mapanga shaaaa
Sisi mahajawani tunaendelea namaisha

Damu imekuwa yao dua
Ya zanzibar si mnajua?
Hivi nani wa kuwazindua
Inafaa tujitambue na janja kuzigundua

Beti ya mwisho damu za wazanzibar waliouwawa 2001 wapendwa wa wale watu wakiwa bado wana makovu leo hii waliopelekea kuuwawa na waliowauwa wanagonga glass.

Si mmeona picha iliyopambwa leo kwenye magazeti mengi? wale ndugu wa marehemu ikiwa bado vidonda vyao vya kupotelewa na wapendwa wao havijaanza kupona mhe anacheka na kufurahi na muheshimiwa wakati kule arusha aliwaambia kuwa muheshimiwa sana si muheshiwa lakini kwenye picha anamsalimia kwa bashasha na kumtania muheshimiwa sana.

Back to the TOPIC kwenye topic tunazungumzia ushiriki wa wazanzibari kwenye kura ya maoni iliyopelekewa kuandikwa katiba iliyopo sasa.

2. Ikiwa CDM watachukua serikali watawashirikisha/watafuata katiba? ( Ya Zanzibar) au wataunda yenye matakwa yao na sio iliyotokana na maoni ya Wazanzibari?

3. Je ikijakutokea wakashika nafasi ya pili watagomea kushiriki kwenye serikali ya kitaifa kama inavyosema katiba?

Hiyo ndio hoja ya msingi leo mengine yameshazungumzwa sana humu yanajirudiarudia tu.
 
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo mbalimbali ya kimapinduzi na kisiasa.

Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.

Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.

1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?

2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.

a) Je kwa katiba iliyopo Zanzibar ikitokea one day YES kwa CDM wakashinda wao na kufuatiwa na chama kingine cha pili mtaunda serikali ya zanzibar peke yenu?

b)Je ikitokea siku moja mkashika nafasi ya pili Zanzibar na katiba inasema kuna Serikali ya kitaifa mtakubali ku join hands na walioshinda ili kuwatumikia wananchi?

Nina maswali mengi lakini hayo ni yamsingi mengine ya nyongeza yatakuja baada ya kujibiwa hayo maswali.

Naomba kuwakisha na kutoa shukrani zangu za awali kwa majibu yenu mazuri na yenye kunifanya niwe huru na haya maswali yanayoniumiza kichwa tangu mlipotoa tamko kuhusu kuwashirikisha CUF na vyama vingine kwenye KUB.

Mohammed H. Shossi

Safarini Ngamiani,

1.Kwa ninavyojua mimi cdm hawana mpango na siasa za Zanzibar maana siku za karibuni muunganiko huo wa nchi za Zanzabar na Tanganyika utavunjika na hivyo kila nchi iwe kivyake. Hivyo kuhusu malengo ya cdm Zanzibar kama yalivyo kwa watanganyika wengi wenye maono ya mbali ni kuomba Mola hilo limuungano lifilie mbali.

2. NCCR,UDP hawatashirikishwa maana wameshirikiana na cuf ambapo pia cuf inashirikiana na ccm kutawala znz.hivyo nao kwa kujiunga na cuf wamekuwa sehemu ya utawala wa znz. Kama wanataka waombe nafasi za uongozi huko nchi ya znz.

3. CDM wanawatendea haki wa-znz kwa kuwa kwa cuf kujifanya kuwa sehemu ya utawala imefanikisha azma ya serikali ya smz kutokuwa na chama cha kuihoji kwenye baraza la wawakilishi hivyo cuf wameungana na ccm kuendeleza serikali ambayao haitakuwa na wa kuihoji wala kuwajibisha. cdm wamechelea kuungana na watu wanaowaza kutawala tu na si kuwaza maisha ya wenye nchi ambayo yanaendelea kuwa duni kila uchao!

4. cmd hawana mpango wa kuunda serikali huko znz kama nilivyokwisha eleza haka kamuungano soon katakolapsi!

5. Uwe unafikiria kabla ya kuandika maana inaonekana majibu mengine unayajua bayana ila basi tu hautaki kukubali ukweli.

Wasalaaa..safarini Raskazone!
 
Mohamed I am sorry for what I have to say! Listen to yourself! Wakati wadau husika watakupa majibu naomba kushauri kuwa uulizaji maswali kwa jinsi hii sio constructive hata kidogo. Kuna waJF wengi wangehitaji kushiriki kukupatia majibu ya maswali yako. Vile vile inaonyesha kwa fikra zako kuwa CDM nin hao uliowataja! Tukiacha vyama mbali tuwe tunajadili vitu kwa mustakabari wa kitaifa irrespective ya hoja imetoka CUF, CDM au CCM etc

Tukiachana na hayo naomba umnifafanulie; Ktk swali la kwanza unaamanisha nini unapouliza kama CDM itashirikisha vyama vingine (naamini ndani ya kambi ya upinzani). Je una tatizo lolote na kanuni ya bunge kuhusu uundwaji kambi ya upinzani? Sijui kama unaelewa kuwa kuna tofauti kati ya vyama vya upinzani kutokidhi viwango vya kuunda kambi ya upinzani aidha kama chama kimoja au hata kwa kushirikiana pamoja? Je kwa vyama vingine kutokuwa ndani ya kambi ya upinzani vitakuwa vimepungukiwa nini?

Awal ya yote kichwa cha habari kinasema "
Re: Swali la kizushi kwa Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, Mkumbo na Wanachadema."

kimemalizia na neno "na wanachadema" hii kuepusha wale wenye vyama vingine wasilete kero na tuwe fair kuangalia hiyo serikali ya kitaifa ilipatikana vipi? ni kweli mazungumzo ya seif na karume ndio yameiweka ile serikali? Hapana je ni kina nani? Jibu wananchi walipiga kura kama walivyofanya wa sudani ya kusini na majibu yakawa kuwe na serikali ya kitaifa vyama vitakavyoshinda viunde serikali na kuwatumikia wananchi.

Sasa kwa kuwa maoni yalijadiliwa kwenye baraza la wawakilishi na ikapitishwa katiba je kwa katiba hiyo CDM wakishinda wataifuata? na je wakishika nafasi ya pili watashirikiana na washindi wa kwanza?

Hakuna hata sehemu moja nimeongelea maswala ya kambi ya upinzani hapo nimeongelea maswala ya zanziba katiba yao na maswala ya serikali ya umoja wa kitaifa.
 
Heshima zenu waheshimiwa ndugu Dr Slaa, Mbowe, Mnyika na Mkumbo, Najua nyie ni wana JF mpo katika hii himaya ya kina invisible na uwepo wenu hapa jamvini umeleta tija kubwa kwa kutujuza mambo mbalimbali ya kimapinduzi na kisiasa.

Sina uhakika kama wote mpo jamvini lakini nina uhakika kuwa Dr Slaa, Mnyika na Mkumbo tunao humu jamvini kwa maana nimeona post zao nyingi tu.

Nisiwachoshe na maelezo naomba niulize maswali mawili la pili likiwa na sehemu aa na be.

1.Kutokana na tamko lenu kuhusu KUB kuwa hamtawashirikisha CUF kwa kuwa imo ndani ya Serikali ya kitaifa je mtawashirikiasha UDP na NCCR - Mageuzi? na kama hamtawashirikisha ni kwanini?

2.Ninavyoona hamuwatendei haki Wazanzibari ambao miongoni mwao wapo wanaCDM kwa maana Serikali ya umoja wa kitaifa wao waliupigia kura za maoni na kura hizo ndizo zilizopelekea kubadilishwa katiba na kusomeka kama ilivyo sasa.

a) Je kwa katiba iliyopo Zanzibar ikitokea one day YES kwa CDM wakashinda wao na kufuatiwa na chama kingine cha pili mtaunda serikali ya zanzibar peke yenu?

b)Je ikitokea siku moja mkashika nafasi ya pili Zanzibar na katiba inasema kuna Serikali ya kitaifa mtakubali ku join hands na walioshinda ili kuwatumikia wananchi?

Nina maswali mengi lakini hayo ni yamsingi mengine ya nyongeza yatakuja baada ya kujibiwa hayo maswali.

Naomba kuwakisha na kutoa shukrani zangu za awali kwa majibu yenu mazuri na yenye kunifanya niwe huru na haya maswali yanayoniumiza kichwa tangu mlipotoa tamko kuhusu kuwashirikisha CUF na vyama vingine kwenye KUB.

Mohammed H. Shossi

Safarini Ngamiani,

Ndugu Shosi,
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri bila kutawaliwa na jazba zozote, hiyo ni kukomaa kwa democrasia na elimu ya siasa.

Kama mwana CDM naomba nitoe ufafanuzi ufuatao nikirejea kauli za mwenyekiti wa CDM.
Ni kweli kuungana ni jambo la msingi kabisa kwa kuwa umoja ni nguvu, lakini mkishakuwa na mawazo tofauti muungano huo haukawii jukwaa la kulaumiana.

Kuna mambo ya msingi ambayo CDM inayaamini katika muungano huu, kama utakumbuka mara tu baada ya uchaguzi CDM walikuwa tayari kuungana na CUF bungeni, lakini ni hao CUF ndio waliotoa masharti ya kuungana nao likiwemo la kutataka yawepo vyama vingine kama TLP,NCCR na UDP;
Kama unavyofahamu wakati wa uchaguzi vyama vyote hivyo vilikuwa vikiiandama CDM badala ya chama tawala, mfano hujuma iliyokuwa ikifanya na mwenyekiti wa TLP na NCCR-Mageuzi katika majimbo ya Kawe na Vunjo na vile vile kumwandama mgombea urais wa CDM kwa mambo yake binafsi ile hali wakiiunga mkono CCM wazi wazi. Na hadi sasa NCCR wamefungua kesi mahakamani dhidi ya Chadema na Mbunnge wake wa Kawe, sasa haiwezekani kushirikiana na Chadema kwani tayri kuna tofauti nyingi ambazo ainaweza kutumika kuihujumu CDM.

Jambo jingine ni kwamba, Mara tu baada ya uchaguzi wabunge wote wa upinzani isipokuwa CDM wamekiunga CCM mwanzo mwisho katika uchaguzi wa spika na wawakilishi mbali mbali wa bunge la Tanzania nje ya nchi. Sasa leo wanataka kushirikiana na CDM kwanini wakati mwanzoni walikataa na kuonyesha ushirikiano na CCM. kama haitoshi hata kwenye maeneo ya mengi katika uchaguzi wa mameya CUF na NCCR wameendelea kuiunga mkono CCM na bado wanataka kushirikiana na CDM ili iweje?

Hata kwenye mazungumzo yao na waandishi wa habari viongozi wa CUF na NCCR wamekuwa wakionyesha dhahiri kutokuunga mkono CDM mfano kwanye midahalo mingi hawa jamaa wamekuwa wakiiandama sana CDM kuliko hata chama tawala ambacho ndio imetufikisha hapa, mfano Prof Lipumba alivyomshambulia Dr. Slaa, Hamad Rashid katika mdahalo na Mbowe alionyesha wazi wazi kukiandama CDM.

Sasa hizi baadhi tu ya mambo ambayo kila mtu anyafahmu tukiacha mengine yaliyofichika.

Kuhusu ushirikiano Zenji, Serikali ya Umoja wa Kitaifa mimi sina tatizo na ushirikiano wa CCM na CUF, ila naamini hauna tija kwa wananchi kwa sababu CCM ndio wanaoongoza wazanzibari, ila kama CUF walikuwa na nia ya kupata uongozi watakuwa wamefanikiwa lakini kama nia ni kuwakomboa wazanzibari bado sana, maana CUF hawawezi wakatumia ilani yao ya uchaguzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa itakuwepo na itaongozwa na CCM miaka yote, wameshawadanganya wazanzibari mpaka watakapobadilisha katiba ndio CCM watatoka madarakani kwani mimi naamini hata uchaguzi wa majuzi maalim alishinda lakini walimbana tu kwa hicho kipengele ili awe makamu wa kwanza wa Rais.

Mimi naami Democrasia ya kweli si kuunganisha vyama bali kuwa na vyama vichache vyenye nguvu ili kuweza kuwashawishi waTZ na hatimaye kuwaletea wananchi mabadiliko ya kweli na si kama wanavyotaka CUF.
Huwezi kukijenga chama chako kwa kukiunganisha na vyama vingine hata kidogo kwani kwa kufanya hivyo unakaribisha mivutano isiyo ya lazima.
Mimi nafikiri wanachama wa CDM tumejifunza mengi kutoka kwa vyama vya upinzani, kwani vina malengo ya kutaka kuimaliza CDM kisiasa kwa kujipenyeza ndani ya CDM na kuanza kuleta choko choko, Embu fikiria kama mtatiro anaongea vile utafikiri kuna haki yake iko CDM unategemea nini.

NAsema Hii haikubaliki, mungu ibariki CDM, Viongozi wake na Wanachama wake na WaTZ kwa ujumla.
 
1.Kwa ninavyojua mimi cdm hawana mpango na siasa za Zanzibar maana siku za karibuni muunganiko huo wa nchi za Zanzabar na Tanganyika utavunjika na hivyo kila nchi iwe kivyake. Hivyo kuhusu malengo ya cdm Zanzibar kama yalivyo kwa watanganyika wengi wenye maono ya mbali ni kuomba Mola hilo limuungano lifilie mbali.

2. NCCR,UDP hawatashirikishwa maana wameshirikiana na cuf ambapo pia cuf inashirikiana na ccm kutawala znz.hivyo nao kwa kujiunga na cuf wamekuwa sehemu ya utawala wa znz. Kama wanataka waombe nafasi za uongozi huko nchi ya znz.

3. CDM wanawatendea haki wa-znz kwa kuwa kwa cuf kujifanya kuwa sehemu ya utawala imefanikisha azma ya serikali ya smz kutokuwa na chama cha kuihoji kwenye baraza la wawakilishi hivyo cuf wameungana na ccm kuendeleza serikali ambayao haitakuwa na wa kuihoji wala kuwajibisha. cdm wamechelea kuungana na watu wanaowaza kutawala tu na si kuwaza maisha ya wenye nchi ambayo yanaendelea kuwa duni kila uchao!

4. cmd hawana mpango wa kuunda serikali huko znz kama nilivyokwisha eleza haka kamuungano soon katakolapsi!

5. Uwe unafikiria kabla ya kuandika maana inaonekana majibu mengine unayajua bayana ila basi tu hautaki kukubali ukweli.

Wasalaaa..safarini Raskazone!

Nimefurahi na majibu yako na nimefurahi zaidi kusikia upo Raskazoni si vibaya kama tutaonana Inn by the sae au Raskazone Beach Club nikupanue mawazo.

Hoja yako namba mbili ni hoja dhaifu sana na inaonyesha uchu na njaa ya uongozi. Hizo ni siasa za marekani Tanzania ikiwa na mahusiano na Afghan mnakula kichapo! Ni siasa dhaifu na zinakubalika na wenye mtindio peke yao.

Kuhusu Muungano sina uhakika kama watu hawautaki muungano ila tutobolee siri kama unazo za chini ya kapeti ndani ya CDM wanalizungumziaje? Usikhofu as jina lako halina uhalisia tofauti na mie.

Sukrana Sana kweli wewe ni griti sinka
 
Mohammed,
Nimependa hali yako ya kustahimili munkari wa ghadhabu, TULIA NA JIBU KIUNGWANA ILI DHAMIRA YA THREAD YAKO ISIPOTOKE/ISIPOTOSHE.
Sikuwahi kuona unatuma threads za siasa ila leo nimeshangaa na nimefatilia how capable you are on responding to the allegations.
Pia tungo yako ya shairi kuusia (uungwana na kuepusha hasira/matusi) zimenivutia saana, maana wewe ni champion wa jukwaa lileeeee la...?
 
Ndugu Shosi,
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri bila kutawaliwa na jazba zozote, hiyo ni kukomaa kwa democrasia na elimu ya siasa.

Kama mwana CDM naomba nitoe ufafanuzi ufuatao nikirejea kauli za mwenyekiti wa CDM.
Ni kweli kuungana ni jambo la msingi kabisa kwa kuwa umoja ni nguvu, lakini mkishakuwa na mawazo tofauti muungano huo haukawii jukwaa la kulaumiana.

Kuna mambo ya msingi ambayo CDM inayaamini katika muungano huu, kama utakumbuka mara tu baada ya uchaguzi CDM walikuwa tayari kuungana na CUF bungeni, lakini ni hao CUF ndio waliotoa masharti ya kuungana nao likiwemo la kutataka yawepo vyama vingine kama TLP,NCCR na UDP;
Kama unavyofahamu wakati wa uchaguzi vyama vyote hivyo vilikuwa vikiiandama CDM badala ya chama tawala, mfano hujuma iliyokuwa ikifanya na mwenyekiti wa TLP na NCCR-Mageuzi katika majimbo ya Kawe na Vunjo na vile vile kumwandama mgombea urais wa CDM kwa mambo yake binafsi ile hali wakiiunga mkono CCM wazi wazi. Na hadi sasa NCCR wamefungua kesi mahakamani dhidi ya Chadema na Mbunnge wake wa Kawe, sasa haiwezekani kushirikiana na Chadema kwani tayri kuna tofauti nyingi ambazo ainaweza kutumika kuihujumu CDM.

Jambo jingine ni kwamba, Mara tu baada ya uchaguzi wabunge wote wa upinzani isipokuwa CDM wamekiunga CCM mwanzo mwisho katika uchaguzi wa spika na wawakilishi mbali mbali wa bunge la Tanzania nje ya nchi. Sasa leo wanataka kushirikiana na CDM kwanini wakati mwanzoni walikataa na kuonyesha ushirikiano na CCM. kama haitoshi hata kwenye maeneo ya mengi katika uchaguzi wa mameya CUF na NCCR wameendelea kuiunga mkono CCM na bado wanataka kushirikiana na CDM ili iweje?

Hata kwenye mazungumzo yao na waandishi wa habari viongozi wa CUF na NCCR wamekuwa wakionyesha dhahiri kutokuunga mkono CDM mfano kwanye midahalo mingi hawa jamaa wamekuwa wakiiandama sana CDM kuliko hata chama tawala ambacho ndio imetufikisha hapa, mfano Prof Lipumba alivyomshambulia Dr. Slaa, Hamad Rashid katika mdahalo na Mbowe alionyesha wazi wazi kukiandama CDM.

Sasa hizi baadhi tu ya mambo ambayo kila mtu anyafahmu tukiacha mengine yaliyofichika.

Kuhusu ushirikiano Zenji, Serikali ya Umoja wa Kitaifa mimi sina tatizo na ushirikiano wa CCM na CUF, ila naamini hauna tija kwa wananchi kwa sababu CCM ndio wanaoongoza wazanzibari, ila kama CUF walikuwa na nia ya kupata uongozi watakuwa wamefanikiwa lakini kama nia ni kuwakomboa wazanzibari bado sana, maana CUF hawawezi wakatumia ilani yao ya uchaguzi.

Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa itakuwepo na itaongozwa na CCM miaka yote, wameshawadanganya wazanzibari mpaka watakapobadilisha katiba ndio CCM watatoka madarakani kwani mimi naamini hata uchaguzi wa majuzi maalim alishinda lakini walimbana tu kwa hicho kipengele ili awe makamu wa kwanza wa Rais.

Mimi naami Democrasia ya kweli si kuunganisha vyama bali kuwa na vyama vichache vyenye nguvu ili kuweza kuwashawishi waTZ na hatimaye kuwaletea wananchi mabadiliko ya kweli na si kama wanavyotaka CUF.
Huwezi kukijenga chama chako kwa kukiunganisha na vyama vingine hata kidogo kwani kwa kufanya hivyo unakaribisha mivutano isiyo ya lazima.
Mimi nafikiri wanachama wa CDM tumejifunza mengi kutoka kwa vyama vya upinzani, kwani vina malengo ya kutaka kuimaliza CDM kisiasa kwa kujipenyeza ndani ya CDM na kuanza kuleta choko choko, Embu fikiria kama mtatiro anaongea vile utafikiri kuna haki yake iko CDM unategemea nini.

NAsema Hii haikubaliki, mungu ibariki CDM, Viongozi wake na Wanachama wake na WaTZ kwa ujumla.

Shukran kwa ufafanuzi wako uliojaa hekima na busara.

Kwa kuongezea tu umegusia kuwa CDM ilikuwa tayari kuungana na CUF kwenye KUB lakini CUF wakaweka sharti la kuvishirikisha vyama vingine kama UDP na NCCR - Mageuzi na ukizingatia kule yupo Kafulila hahahahaha anyway CDM kwanini wanataka kuendeleza mashonge na vingongo vya wakati wa kampeni?

Nadhani kama dhamira ya CUF ingekuwa kutaka uongozi wangekubaliana na CDM na kuwamwaga UDP na NCCR - Mageuzi nadhani dhamira ilikuwa njema anyway wenyewe wenye CDM wameshasema hawataki!

Kuhusu serikali ya kitaifa kule Zanzibar kama CDM hawapendi kushirikiana na mtu basi ikijikite kule ijipenyeze wawashawishi wazanzibar hatimae ipigwe kura tena ya maoni kurudisha kama zamani ili ikishinda watawale peke yao naelewa hivi vyama vyote si CUF,NCCR,UDP,TLP viongozi wake wana njaa na ukimkaribisha mwenye njaa mwenzio unakuwa hushibi. Unless goal iwe ni kuwatumikia wananchi na sio njaa. TAFAKARI
 
Ndg Mwamedi..
Mwanzo niliposoma post yako niliona una busara na unania njema na CDM.. Ulipoanza kuwajbu raia hm ndni umeonesha upungufu wa busara na patience.. Pia upo ki'cufusm au kisisemi zaidi.. My answr.. Kanun za Bunge zinaruhusu CDM kufany hvyo.. Na si swala la huruma au upendo km kanisan.. Pili, iwapo CDM itashka dola Znj bas itaheshm na kufuata katba ya hko kwa mana ya kushrkiana.. Lakn yule atakayekuwa mpnzan akiona CDM wamekosea anaweza kufanya kama CDM inavyofanya sa ivi.. Swala zima ni mtazamo wa chama husik ktk malengo yake ya kisiasa..

Thenkisi.
 
May be I am out of point, chadema walitakiwa sana kuumiza akili issues za CUF na hasa zanzibar, napata wasiwasi kazi itakuwa kubwa sana ya ukombozi endapo upande fulani hausaidii kwenye mabadiliko , any way, CDM wanalenga nini kuhusu maslahi ya taifa? sio mikoa fulani
 
Mohammed,
Nimependa hali yako ya kustahimili munkari wa ghadhabu, TULIA NA JIBU KIUNGWANA ILI DHAMIRA YA THREAD YAKO ISIPOTOKE/ISIPOTOSHE.
Sikuwahi kuona unatuma threads za siasa ila leo nimeshangaa na nimefatilia how capable you are on responding to the allegations.
Pia tungo yako ya shairi kuusia (uungwana na kuepusha hasira/matusi) zimenivutia saana, maana wewe ni champion wa jukwaa lileeeee la...?

Shukran sana kaka nadhani hata kule kwenye jukwaa letu huwa unaona ninavyo makinika mie sio mtu wa kuyumbishwa napenda watu wastaarabu na wenye kujibu hoja kwa hoja na sio kurukia kasfa na matusi. Uungwana ni kitu cha bure hakinunuliwi dukani napenda nijipambanue na watu wenye jazba waliopofuka na wasioona mbele ya pua zao.

Thanks mkuu itabidi unitadhmini kama naijua siasa nipo Ngamiani nimekuja kuangalia jimbo la mhe Nundu kama utaniruhusu nitachukua fomu kwa tiketi ya CDM nigombee ubunge 2015.
 
May be I am out of point, chadema walitakiwa sana kuumiza akili issues za CUF na hasa zanzibar, napata wasiwasi kazi itakuwa kubwa sana ya ukombozi endapo upande fulani hausaidii kwenye mabadiliko , any way, CDM wanalenga nini kuhusu maslahi ya taifa? sio mikoa fulani

Nimekuwa nina shaka kuwa malengo na nguvu kubwa ni kanda ya ziwa, shinyanga na tabora,arusha,mbeya na kilimanjaro sehemu zenye population kubwa na sehemu watu wanaosifika kwa ukabila. Tuombee hisia zangu ziwe si kweli kama kweli basi tutakuja mtafuta mchawi one day.
 
May be I am out of point, chadema walitakiwa sana kuumiza akili issues za CUF na hasa zanzibar, napata wasiwasi kazi itakuwa kubwa sana ya ukombozi endapo upande fulani hausaidii kwenye mabadiliko , any way, CDM wanalenga nini kuhusu maslahi ya taifa? sio mikoa fulani

Sikieni waadhama Nikoseapo kosoa
Tusitafute hasama Mchawi tukimjua

Ukiona nimekosea niambie wapi nilipokosea na kama kuna kosa basi nadhani wazanzibar ndio wenye makosa na sio mie maana wao ndio waliopiga kura ya maoni kuhusu serikali ya kitaifa kwahiyo wao ndio waccm na wcuf kwa maana kule hakuna vyama vingine na sio mie.

Kuhusu suala la KUB uamuzi umeshatoka kwa wenye chama kuwa hawataki kushirikiana na mtu period hapa tunajadili katiba ya znz inavyosema je CDM ikitokea wakachukua znz watavunja katiba? na wakishinda nafasi ya pili watakataa kuingia kwenye serikali ya kitaifa?

Samahani kama nitakuwa nimekujibu usivyopenda kukufurahisha wewe na kujibu vile ninavyo ona mie huwa naheshimu maoni ya mtu nadhani na wewe jaribu kufanya hivyo.
 
ndugu! elewa kwamba mfumo wa GNU unatokomeza upinzani popote duniani ndio maana wanaharakati wengi sio wahubiri wa huo mfumo.
mimi sio msemaji wa chama ila najiuliza siku ya maandamano ya CUF Maalimu Seif atakuwepo? atadai kipi serikalini wakati yeye ni pati ya serikali? je CUF ni chama cha upinzani TANZANIA (Kumb: Zanzibar ni sehemu ya TZ)? who is watch dog wa zanzibar kama sio akina JAHAZI ASILIA na wenzake?(mtatiro with time ataingia CDM as he is great thinker alihofia kuwa atakosa uongozi ndani ya CDM given that idara zote za CDM zilishapata vijana machachari kwa hiyo the only chance was CUF)

majibu ya maswali yako unayo kabisaaaa. HUITAJI UFAFANUZI wa vigogo wa CDM
 
CUF Wakumbuke kuwa Cheyo wa UDP alipounga mkono bajeti alivuliwa uwaziri kivuli, Lakini wao wanasahau wakati wa uchaguzi wa Spika, Naibu spika pamoja na wawakilishi wa SADC kura walipiga kwa kuungana na nani.

Mkuki kwa nguruwe.....
 
Hoja ya CHADEMA iko wazi kuwa chama kimoja hakiwezi kujifanya popo.........wanahitaji kuchagua moja katika ushirikiano na vyama vya siasa. Aidha kuwa kwenye serikali au la, that's simple. Sasa CHADEMA wakiwa serikali halafu wakataka kuwa kwenye kambi ya upinzani kwa upande wa pili wa JMT itakuwa ni unafiki kama wanavyotaka CUF kuwa.

Usisahau pia kuwa mambo ya Zanzibar hayatenganishwi na mambo ya bara kwa kisiasa. Kumbuka Raisi mstaafu BW Mkapa alisha wahi kumteua R. Hamad wa CUF kuwa mbunge wa bunge la JMT, pia Raisi JM Kikwete alisha wahi kumteua mh. Jussa kuwa mbunge wa bunge hilo hilo la JMT na yote haya yalifanyika kwa sababu ya miafaka yao ya Zanzibar. Sasa inakuwaje leo CUF wawe serikalini Zanzibar lakini wajifanye hawako serikali (ushirikiano ) na CCM???????????
CUF waache unafiki, waendelee na CCM au wajitoe wakae na vyama vingine
 
ndugu! elewa kwamba mfumo wa GNU unatokomeza upinzani popote duniani ndio maana wanaharakati wengi sio wahubiri wa huo mfumo.
mimi sio msemaji wa chama ila najiuliza siku ya maandamano ya CUF Maalimu Seif atakuwepo? atadai kipi serikalini wakati yeye ni pati ya serikali? je CUF ni chama cha upinzani TANZANIA (Kumb: Zanzibar ni sehemu ya TZ)? who is watch dog wa zanzibar kama sio akina JAHAZI ASILIA na wenzake?(mtatiro with time ataingia CDM as he is great thinker alihofia kuwa atakosa uongozi ndani ya CDM given that idara zote za CDM zilishapata vijana machachari kwa hiyo the only chance was CUF)

majibu ya maswali yako unayo kabisaaaa. HUITAJI UFAFANUZI wa vigogo wa CDM

Naomba nikujibu kwa ufupi, waliopiga kura ya maoni ni CUF au wanzibari? je mnajua kuwa CCM walikuwa hawalitaki hili?na hadi leo wapo wahafidhina wasiotaka kutoa ushirikiano. Ikiwa siasa ni kuwatumikia watu kwanini tusiwatumikie kwa pamoja? ili kama lawama ziwe zetu sote!

Mie siamini kwa kuhodhi madaraka kama wanavyofanya sasa CDM kwenye KUB.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom