Swali la Kizushi kuhusu Mabinti Wabunge!!

Swali la Kizushi kuhusu Mabinti Wabunge!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,917
Sijawahi ona au kusikia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ni mjamzito na amejifungua!Jee na hao wabunge vijana mabinti hawaoni kuwa muda wao unaenda,kuna sheri ainayaowakata kupata ujauzito ukiwa mheshimiwa kama ilivyo JWTZ?Jana nilisikia Anna Abdallah akikemea uwepo wa mimba zisizo tarajiwa kwa wabunge, alikua na maana gani?
 
kweli wewe jina lako la M 23 linasadifu kuwa na akili 2 mwisho 3 za kufikiria.
 
muulize mbowe na nyumba ndogo yake

Duhh!... Kweli mwana we umekunywa maji ya bendera. Watu tukija huku MMU tunaachaga stress za kisiasa kule kwenye siasa... Sasa we umekomaa zazo hadi huku... Isije kuwa hata ukitaka kutiana unatandika bendera ya kijani...
 
Wakitongozwa wanaringa sana ndo maana hawapati wanaume wa kuzaa nao.MIA!
 
Mbona Batilda Buriani alijifungua akiwa Mbunge na Waziri.

Wanajifungua ila huwa ni private matter na sio lazima watangaze.
 
Sijawahi ona au kusikia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ni mjamzito na amejifungua!Jee na hao wabunge vijana mabinti hawaoni kuwa muda wao unaenda,kuna sheri ainayaowakata kupata ujauzito ukiwa mheshimiwa kama ilivyo JWTZ?Jana nilisikia Anna Abdallah akikemea uwepo wa mimba zisizo tarajiwa kwa wabunge, alikua na maana gani?
duh..kuna ka ukweli...na pia nasikia wabunge wa kiume wana beba machangu je wabunge wakike je..?
 
Unataka wakijifungua watangazwe kwenye vyombo vya habari ?
 
wana anwani zao humu sema kuwatambua utafanya kazi
 
mi nadhani huwa wanaona aibu kuonekana na vitumbo ilhali wao ni waheshimiwa.na pia wanaona noma kujichoresha nyeti zao kwa madaktari kipindi cha kuhudhuria kliniki na siku ya kujifungua
 
unataka wabandike kadi za clinic kwenye mapaji yako ya uso!
 
Sijawahi ona au kusikia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ni mjamzito na amejifungua!Jee na hao wabunge vijana mabinti hawaoni kuwa muda wao unaenda,kuna sheri ainayaowakata kupata ujauzito ukiwa mheshimiwa kama ilivyo JWTZ?Jana nilisikia Anna Abdallah akikemea uwepo wa mimba zisizo tarajiwa kwa wabunge, alikua na maana gani?

Mimba ni private business. Wewe yanakuhusu kitu gani? wamakwambia wanataka watoto? Acheni kufuatilia maisha ya watu. Hayawahusu.
 
Wabongo tunapenda sana kufuatilia mambo ya watu
'
Source: Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom