Swali la kisheria

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Mama amefungwa Gerezani miaka kadhaa akiwa na mimba au akiwa na mtoto mchanga wa siku moja.

Je, mama akifungwa si itakuwa mtoto naye atakuwa kifungoni wakati hana kosa? Mtoto akikua ana haki ya kudai fidia kudai kufungwa bila makosa?
 
Basi na wanaume wote waliokuwa gerezani wakitoka na wakazaa hao watoto nao watataikwa wadai fidia kwa sababu walikuwa baba zao wamefungwa wakati wao wakiwa mbegu za uzazi katika korodani za baba zao
 
Elewa anayetunza mtoto ni mama.Baba haingii na mimba gerezani kwa hiyo hawezi kuzaa.Zile mbegu unazosema ziko kwenye korodani hazijawa kiumbe bado bado ziko kwenye haploid number of chromosomes.Baba hawezi kujifungua akiwa gerezani use logic
 
Basi na wanaume wote waliokuwa gerezani wakitoka na wakazaa hao watoto nao watataikwa wadai fidia kwa sababu walikuwa baba zao wamefungwa wakati wao wakiwa mbegu za uzazi katika korodani za baba zao
Mmmh jf kuna vipuri
 
Back
Top Bottom