Swali la ki chitchat

Nalendwa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,467
13,025
Hivi inakuwaje Masuper star na matajiri wengi wanazaaga Twins tu. Kwani watu wengine wa kawaida hawapatagi watoto Twins sana. Hawa ni mfano wa couples maarufu wenye twins.

K-Lynn, Mengi
Beyonce, Jay Z
Angelina Jolie, Brad Pitt
Jennifer Lopez, Marc Anthony
Amal and George Clooney

be.jpg
Amal Clooney mainimage.jpg
 
Hamna Mkuu ni kawaida hata wengine wanazaa Sana tuu sema umaarufu unafanya watambulike zaidi kwasababu wanafuatiliwa na big crowd akiwemo na Wewe. Ni sawa na akifa wazir au Kiongoz Mkubwa watu watashtuka wakati maskin wanakufa kilasiku kwA ajari, migogoro ya ardhi, majambazi, vita, njaa lakn watu hawashtuk wanaona kawaida..
 
Asante mkuu, nikafikiri ni mie pekee sina twins, na ninavyowapenda sasa.
 
Kupata twins nasikia ni malengo
Hata wewe hapo ambaye sio tajiri wala superstar unaweza kupata ukiamua

NOTE:sifahamu ni kiaje

Haiyaa!, sasa nilitaka kuuliza ni Kiaje. Labda wanafanya kama vile wanafanya kupata mtoto wa kike au wa kiume.
 
Jirani zetu wawili wana mapacha..,....halafu kama umewahi kufika Nigeria utagundua kuwa kuzaa pacha siyo lazima uwe superstar.
 
Eti nasikia mapacha huwa hawawezi kamwe kuzaa watoto mapacha hivi ni kweli???
Nasikia tu binafsi sijui

Ila I like twins lol!
 
jibu la ki chit chat we ni muongo
Hahaaaaa umemuweza johh
naomba nisikujibu
mjibu tu ila chunga ban ni mbaya kwa afy
Maelezo ya ki chitchat, hebu relax kidogo Uchit chatike na wewe. Kuuliza si ujinga, kujibu ujinga ndo ujinga wako.
Mkuu mpotezee banaa. Hili swali ingekua fresh kama ungepeleka Jf doctor forum maana hapa ni utani kwenda mbele tu. So don't be curious
 
Hahaaaaa umemuweza johh

mjibu tu ila chunga ban ni mbaya kwa afy

Mkuu mpotezee banaa. Hili swali ingekua fresh kama ungepeleka Jf doctor forum maana hapa ni utani kwenda mbele tu. So don't be curious
watu hawajui kama hapa ni chit chat pia mtu anatoa mada za ovyo anataka majibu mazuri sijui wanafikiriaga kupitia wapi
 
Back
Top Bottom