Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,240
- 2,441
Umeuliza ili kujihakikishia kama kitaa wanakosea au hawakosei kukuita lishangazi??
Wapo vibabuMshangazi unaanza miaka 32
Bibi anaanza miaka 40
Mjini wazee wote ni baby. Hamna mijomba
Namtazeeka bila mbususu za kutulia nazooHii ni kikongwe kabisa, 30-45 lishangazi.
😂😂😂😂 shangazi mbona mkali.Namtazeeka bila mbususu za kutulia nazoo
Sahihi mkuuHii ni kikongwe kabisa, 30-45 lishangazi.




Shangazi naja pmDah na mi ndo nshakua shangazi. Naona kama nilikua kigoli juzi tuu. Siku zinaenda kasi sana.
Kuna nini tena huko?Shangazi naja pm
SweetyCandyHivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??
Semeni tu ukweli