Hivi kwa mwanamke ni umri gani sahihi kuitwa mzee.?
Maana humu kila mtu utasikia lishangazi sasa mtu ana 32 au 34 unamwita mtu lishangazi .
Na wewe una 45 to 60 nani nilimmjomba??
Sijajidharau nimeandika uhalisia sina pesa za kuitwa rich aunt nnazo kidogo za kubadili maharage, chainizi na nyamaπ zinazonifanya mimi kuwa mshangazi