Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Kwa sababu Adam alikula/alitafuna Tufaa (Apple). Ni tunda teule. Ndio maana hata iPhone/iPads n.k bei iko juu. Kula Tufaa (Apple) ili utukuke na kuongeza nguvu za kiume. Tehe tehe tehe...
Apple ni tamu mno, acha kulinganisha apple na chungwaLeo nalikuwa nazunguka zunguka, nikapita sehemu wanauza matunda nikanunua apple 1 kwa sh 1000, ambalo lina size sawa na chungwa la 200, peas la 200, piches ya 100, embe la 300.
Sasa nikatafakari sana na kujiuliza kwanini tunda hili linauzwa bei ghalu ila sikuweza pata majibu. Ma apple yanaota katika mti na huwa ni mengi tu kama maembe katika mti wake , labda ingekuwa mti mmoja unatoa maepo 10 tu ningesema sawa bei iwe juu.
Sasa naombeni majibu hasa kwa wakulima wa matunda . Ni kwanini eppo ni gjali sana
LushotoTuna mkoa unazalisha apple kweli ?
ya lushoto ubahatishe tamu vinakuwaga vichachu sanaIla Ya lushoto matamu kuliko Ya Kwa madiba Sema vidogo sana
Ova
Ploudly ni nini mkuu?Apple ni tamu mno, acha kulinganisha apple na chungwa
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
Jibu swali
Jibu swali