Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 270
Kwa Sababu nao hawakipendi Chana hicho.Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano
HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA
SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR
Zanzibar wanadeka.Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano
HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA
SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?
Karibu JF. Ukishakuwa memba sio lazima kuanzisha thread. Unaweza ukasoma tu na kuchangia kwenye thread za watu na umemba wako usiathirike. Ni ushauri tu lakini wala usikukasirishe!
Kila ikija hoja ya Muungano. CHADEMA na wabunge wa CHADEMA utaona wanaichukia sana zanzibar katika hoja zao
1)Kutaka wajumbe wa ZANZIBAR katika katiba wapunguzwe
2)mfuko wa Jimbo?
3)Ardhi
4)Pesa za elimu ya JUU
5)Mafuta yawe ya Muungano
HAYA YOTE MWALIMU NYERERE AMBAO CHADEMA WANAMUAMINI KULIKO MTU YOYOTE YULE HAKUWAHI KUYAZUNGUMZA NA AKIJITAHIDI KUJIZUIA KUYAZUNGUMZA
SWALI: KWANINI CHADEMA HAWAIPENDI ZANZIBAR. AU KWA SABABU IPO MBALI NA ARUSHA NA MOSHI?
Kiukweli ninahisi wewe ama una matatizo na Chadema ama uko kwenye list ya vijana wa Nape Jamvini. Zanzibar sisi chadema tunaipenda sana. Zanzibar ndo eneo pekee tulipata kura kidogo lakini kwenye mgawa wa Ruzuku likapata fedha nyingi kuliko kura ilizopata ili tuongeze wananchama huko. Sasa hayo unayoyaongea wewe yametoka wapi?