Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

Wandishi was habari wanokuwa kwenye hizo press wanashindwa vp kuuliza maswali mujarabu Kama hayo?
Wanaogopa kutekwa ndugu 😂😂😂😂

Hakuna uhuru wa vyombo vya habari kwenye awamu ya Tano???
 
Wandishi was habari wanokuwa kwenye hizo press wanashindwa vp kuuliza maswali mujarabu Kama hayo?
Wanaogopa kushulikiwa na Sheria mpya na kanuni mpya za ndani ya kutekeleza kwa kishindo.
 
Bora sheria mzee. Unaweza kukamatwa ukitoka tu kwenye mkutano na usionekane tena kama ilivyokuwa kwa Azory Gwanda
 
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!

Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!

Sasa swali langu kwako!

Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!

Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???

Wakikujibu naomba Nitag.
Mbaya zaidi hawa waandishi wetu sijuhi wanauliza maswali gani huko kwenye press, ndio maan wamemabiwa kuanzia mwakani atleast uwe na Diploma.
 
Ndugu hadi makada wote wa Lumumba hawajaja kumjibia humu Kamishna Sabas!! Sijui wako wanaangalia magufuli alivyopiga magoti leo Iringa???😂😂😂

Nasubiri majibu yao mkuu. Nitakutagg
 
Unamzuiaje Waziri Mkuu kufanya ziara za kuhimiza wananchi kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Naona unajichosha kumuuliza huyo mchovu Sabas tangu lini yeye akawa afisa wa tume hivi mbona wanajidharilisha sana kupoka mamlaka ya tume yaani anaropoka kama chizi akitegemea mabomu au risasi ziliwahi mushinda nguvu ya umma wakiamua mtu wanayemkingia kifua yaani magufuli hata kuku wa nchi hawamtaki so hana nguvu ya umma polisi wajihadhari na ujinga huo i am sure chadema watampa vipande vyake
 
Unamzuiaje Waziri Mkuu kufanya ziada za kuhimiza wananchi kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Magufuli anafurama kubebeleza wananchi ngebe zote mtoni chezea wananchi wewe sauti inatokea puani kabananishwa kisawasawa
 
Hapo unamuamuru mbwa kumng'ata mmiliki wake,...na sidhani kama itawezekana labda awe mzee Kingunge Kambale Mweusi
 
Unamzuiaje Waziri Mkuu kufanya ziada za kuhimiza wananchi kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Tupe ratiba ya Tume ya waziri mkuu kufanya kampeni ya uraisi ndugu
 
Hapo unamuamuru mbwa kumng'ata mmiliki wake,...na sidhani kama itawezekana labda awe mzee Kingunge Kambale Mweusi
Hahahaha kwa iyo kumbe Tume hawana Ratiba ya Waziri Mkuu kufanya kampeni ya uraisi???
 
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!

Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!

Sasa swali langu kwako!

Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!

Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???
Akikujibu nistue
 
Waziri mkuu sio mgombea uraisi ni mjumbe wa kamati kuu aweza fanya kampeni popote kwa kofia yake ya uanachama na ujumbe wa kamati kuu .Hilo uliloandika linawahusu wagombea uraisi sio wapiga debe ambao sio wagombea kama mimi na MJUMBE wa kamati kuu Kassimu Majaliwa

mimi binafsi nafanya kampeni ya kuzunguka lakini ratiba ya mizunguko yangu ya nyumba kwa nyumba ya kumnadi Raisi sijapangiwa na tume
 
Ndugu Majaliwa kama mjumbe wa kamati kuu anayefanya kampeni za Uraisi anatakiwa awe na ratiba ya Tume. Tunaomba tusaidie basi ratiba yake ya kampeni kutoka kwa Tume kada maarufu.

Na wewe tutumie tu picha ya kampeni zako tuone tena ukilindwa na polisi 😂
 
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!

Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!

Sasa swali langu kwako!

Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!

Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???

Huyo kabonyezwa tu kama swich ya honi ya gari.
Ukimuuliza ratiba zikoje, hawezi kujibu hilo swali. Pia ungemuuliza je ni halali kwa mgombea kusimama njiani na kusalimia watu kama anatokea point A kwenda point B
 
Leo kajifanya kumuweka pembeni Misime kumbe yeye ndo ameharibu zaidi!!
 
Back
Top Bottom