Swali kwa wataalamu wa nyota

Swali kwa wataalamu wa nyota

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,533
Reaction score
4,290
Wakuu mimi hapa nataka kuuliza ivi kuna nyota dhaifu kuliko nyingine? au nyota yoyote inaweza kung'alishwa na wataalamu ikang'aa na pia nyota yoyote inaweza kufifia ikiwa haijang'alishwa?
Na je mnaweza kuwa na nyota zinazofanana kwa jina bila mkatofautiana kung'aa? na je mtu utajuaje kama nyota yako imefifia au imeng'aa? ikiwa haujawai kwenda kwa wataalamu wanajimu? na kama kuna nyota dhaifu zitaje tujue
 
Hakuna uhusiano kati ya nyota zilizopo angani na matendo yako

Imani potofu
 
Wakuu mimi hapa nataka kuuliza ivi kuna nyota dhaifu kuliko nyingine? au nyota yoyote inaweza kung'alishwa na wataalamu ikang'aa na pia nyota yoyote inaweza kufifia ikiwa haijang'alishwa?
Na je mnaweza kuwa na nyota zinazofanana kwa jina bila mkatofautiana kung'aa? na je mtu utajuaje kama nyota yako imefifia au imeng'aa? ikiwa haujawai kwenda kwa wataalamu wanajimu? na kama kuna nyota dhaifu zitaje tujue
Kachanje mkuu J&J nyota itang'aa..
 
Back
Top Bottom