Mtoa mada umenikumbusha kwenye machimbo kipindi hicho pesa imekata, tulikuwa tunapika ugali, kabla haujaiva tunachukua yale maji (uji) ndio yanakuwa mboga, tunalia na ugali. Hicho chakula kinaitwa sisi kwa sisi.
Mimi ni jinsia Me.
Mtoa mada umenikumbusha kwenye machimbo kipindi hicho pesa imekata, tulikuwa tunapika ugali, kabla haujaiva tunachukua yale maji(uji) ndio yanakuwa mboga, tunalia na ugali. Hicho chakula kinaitwa sisi kwa sisi.