Kwanini unataka kufanya kazi kwenye mazingira hayo?ningeamua kua mpole
huku nikimbmbeleza taratiiibu aniruhusu nifanye kazi..na faida za sisi wote kufanya kazi
Angekuelewa nini?am sure with time,angenielewa tu na angeniruhusu
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamtu kama huyo hutakiwi kumkera kabisa
Mbona inatukuta wengi sana,unajitia mbishi unaambiwa sasa mimi nataka kuona utafanya nini..basi tena unakaa.lakini mimi nalaani sana hii tabia ya kutuambia kwamba kila kitu unapata una shida gani?kwani kwetu kuna kitu nilikuwa nakosa?basi tu tushajitumbukiza kwenye ndoa.inabidi mmoja awe chini tukijifanya wote wafalme mambo yatakuwa si mambo...
miss chagga ..............................Watakuja me nikudume siwezi kujibu ngoja nimwite mamsapu aje cc miss chagga
Kwa kweli mie kukaa home kumtegemea mwanaume kungenishinda.
Sawa ana uwezo wa kunipa mahitaji yote but what if anything happens to him?
Hii sawaUuupsi first ningeimba aleluya kuu kwa sauti zote mwenyw kumshukuru Mungu kunipa mume wa ivyo..
Future ni nini?kukaa home idle sio fine what abt future??
Kulea wana ni challenge tosha kwa mwanamke anaejua umuhimu wa kulea na hatua za maleziLife is not only today tutazaa na kuna ishu za responsibility as a woman jaman..ningemwambia baba watoto in polite way anifungulie bsness hata mradi wa kuku tu ili akil yangu ipate challenge na pia siku akipatwa na tatizo la ugonjwa o kukosa kazi nami niweze kumsaidia thats love lol&####
miss chagga ..............................
Ningemwomba tu kama hataki nikaajiliwe basi anifungulie biashara..
Mana mfano mzuri ni mim mwenyewe mkewe ambaye niliumwa na je ikitokea nae akaumwa kama mim nitaweza kumhudumia kama sitakuwa na kipato..?..kwahiyo aniache nikafanye kazi kwa faida yetu wote ili ikitokea mmoja ameshindwa basi mwingine asimamie show nzima..