Swali kwa wanawake tu

Swali kwa wanawake tu

Yule ambae anatoa chozi na kunililia kwa uchungu na yupo tayari kufa juu yangu lol

acha ujinga wewe!!! atoe roho yake kwa ajili yako kwani wewe mzazi wake? period!!
 
acha ujinga wewe!!! atoe roho yake kwa ajili yako kwani wewe mzazi wake? period!!
kufa kwaajili ya mzazi na kwaajili ya mtu unaempenda ni vitu viwili tofauti......Unaona ajabu kwani hujaona au hujasikia wanaojitoa mhanga kwaajili ya wawapendao... but inategemea na situation simaanishi kujinyonga!!!
And my comment wasnt serious either...nimefata flow ya thread and the whole thread is a big joke!!
 
huyo anayehonga siku zikimwishia atakulilia....wote wasanii. MWANAUME RIJALI SHURTI KUJIAMINI.

mwanaume mwenye mapenzi ya dhati ni yule anayejali maendeleo yako na kuku-support kuwa na maendeleo hata ikitokea akafa hutakuwa tegemezi. yule anayekushirikisha mambo yake ya maisha, anayekusikiliza
 
Wote hao wanaweza wasiwe na mapenzi ya kweli. Mapenzi sio hesabu
 
Huyo wa kwanza anafaa ila huyo wa kulialia hapana
 
We nae ni wakike tu unauliza swali gani?au we ni shoga?ngoja nimpigie mseven.
 
sidhan kama kuna mwanaume anaeza toa roho yake kisa dem! wote wasanii tu!
 
Huyo wa kwanza hanifai manake me mwenyewe napenda kuhonga, halafu baba alinambiaga 'cha mtu m.a.v.i.
Huyo wa pili ndo sitaki hata kumuona, kuliliana liliana kuleteana uchuro tu, kwanza mwanaume haliagi ovyo.
 
Back
Top Bottom