swali kwa wanawake II



Kwa hiyo haya mambo yapo kikweli .Mi nilijua ni hadithi za mitaani tu.
Basi wale wenye wivu na wapenzi wao dawa ndo hiyoooo.Mshindwe wenyewe tu! hahahahah!
 
...mnh!? 🙁 natamani kusema; 'akutukanaye,...!', lakini huenda ni macho yangu tu...


hakuchagulii tuc, anadhani heshima zinaendana na mvuto, nilienae ana wac mana anajua mvuto unaruhusu, bali ni heshima yangu kwake ndio mana naiheshimu ndoa.
 

labda sikuwa specific kidogo. mwanaume akishasema kuwa huyu nataka awe mpenzi/mke wangu basi hapo kushea inakuwa ni ugomvi. inawezekana alikuwa anapanga foleni kupata hiyo 'huduma' kwa malaya lakini akiamua kummiliki huyohuyo malaya basi na wengine wafunge breki la sivyo ni balaa!
 

...natamani kuwaona, hivi 'wakinasiana' si ndio raha inawazidi?
 
hii ni dawa nzuri sana kwa cheaters.
 
hahahaha haya bana hivi ukionana na aliye kuzindua akasema mkumbushie utamtosa mwenzio??? au wewe huta taka mkumbushie na mwenzio aliyekufundisha maswala ya kikubwa?


hapana kukumbushiana kabisa, nashukuru tuliachana kwa kuparangana! 2kikutana ni hi tu.
 
hapana kukumbushiana kabisa, nashukuru tuliachana kwa kuparangana! 2kikutana ni hi tu.


Wewe Nyamayao acha hizo,labda jamaa ashindwe mwenyewe recall vizuri.ila hakuna mwanamke mwenye ujanja kwa jamaa yake wa zamani.tulishaona watu wanaachana kwa matusi na mbwembwe kibao wakikutana miezi miwili baadaye mshoboko kama kawaida.labda usimpe nafasi kuwa karibu na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…