Swali kwa wanaume

Akinuna si ndo vizuri utakuwa umeepuka balaa la kufuatwa fuatwa maana kuna wengine hata umkatae vipi atakuja tu (ulitaka iweje hapo unless kama kuna mambo mengine ulikuwa unamshobokea sasa inakuwa inakuuma). Anaenuna ndio salama yako mwache anune kama mtakuwa mnaonana ipo siku atalegea mtakuwa kawaida na hakufuati tena. Kuna wengine anakuchekea tu hata kama umempiga kibuti na support anakupa kumbe nia bado ipo palepale alichofanya ni ku-change strategy na ku-apply formula ya SIZITAKI MBICHI HIZI mwisho wa siku wengine hu-win hivyo kama kweli humtaki heri huyo aliekununia maana amekuweka mbali nae
 
kwani vigezo gani unavyovitaka bibie?

uwe unajielewa si kuja kujisifu unanini? kuwa na hoja za singi nione kweli we ni kiongozi si unakuja unaishia kuimba wimbo i love u i love u if love is everything go and pay your bill with love ----kkkk........show me you have plan and vision si unakuja unajielezea oooh nimenunua gari oooh gari ipo garage oooh ma sister anaolewa loh sitaki mie kuchoshwa...
 
we nipe kwanza alafu ndio uniaambie hatuwez kuendelea kwa sababu a,b,c.... nk mambo ya kunyimana ushamba wa kizaman tupunguziane stress nikikuomba ukaninyima lazima ni mind!!! alafu kama huna time na mm niambie nakupa leo tu!!!
 
Tukianzisha mgomo wa kuto kutongoza muathirika namba moja atakua ni mleta huu uzi
 
we nipe kwanza alafu ndio uniaambie hatuwez kuendelea kwa sababu a,b,c.... nk mambo ya kunyimana ushamba wa kizaman tupunguziane stress nikikuomba ukaninyima lazima ni mind!!! alafu kama huna time na mm niambie nakupa leo tu!!!

kuna mmoja nilimuomba mchezo mara moja kaning'ang'ania mpaka leo
 
uwe unajielewa si kuja kujisifu unanini? kuwa na hoja za singi nione kweli we ni kiongozi si unakuja unaishia kuimba wimbo i love u i love u if love is everything go and pay your bill with love ----kkkk........show me you have plan and vision si unakuja unajielezea oooh nimenunua gari oooh gari ipo garage oooh ma sister anaolewa loh sitaki mie kuchoshwa...

kwani wewe una nini cha ajabu hadi uweke masharti magumu hivyo?
 
we nipe kwanza alafu ndio uniaambie hatuwez kuendelea kwa sababu a,b,c.... nk mambo ya kunyimana ushamba wa kizaman tupunguziane stress nikikuomba ukaninyima lazima ni mind!!! alafu kama huna time na mm niambie nakupa leo tu!!!

Hahahahaaaaa...,hyo kwa Wamakuwa pekee,"we unataka kila cku,nlikupa kwa kuwa nlikuona umeshindwa-shindwa",hahahahaaa!
 
Inategemea unasemaje hiyo NO. No ya nyodo inaudhi sana. Hakuna mwanaume ambaye hajawahi kukataliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom