Achana nao wanune, wavimbe, wapasuke wanakupunguza nini kwani.....???
Wewe utakuwa shangingi
Umepewa bure toa bure
Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wakikutaka ukiwakatalia wanakununia na kuweka bifu?
Kwamimi naimani ukitongoza utegemee YES or NO (si kila unayemtongoza akubali)
Pia huwezi jua yule unayemtongoza akakukatalia anakuepusha na nini kwani siri ya mtu ni kichaka Pengine anaugonjwa hapendi kukuambukiza, pengine anamahusiano na mtu unayemjua nk...
Sielewi kwanini huwa wengi wao wanakasirika ..
Samahanini labda mnafahamu ni kwanini
uwe unajielewa si kuja kujisifu unanini? kuwa na hoja za singi nione kweli we ni kiongozi si unakuja unaishia kuimba wimbo i love u i love u if love is everything go and pay your bill with love ----kkkk........show me you have plan and vision si unakuja unajielezea oooh nimenunua gari oooh gari ipo garage oooh ma sister anaolewa loh sitaki mie kuchoshwa...
Nimekukubali dada, wewe utakua muwekezaji.
Mwanaume anatakiwa aone mwisho mwanzoni kabisaaaa!!! Kama ukimwangalia mwanamke huoni mwisho wa unachotaka kuanza usianze. Wanaume wamepewa hio ''instinct'' ya utambuzi na kuona mbali lijapo swala la wanawake. labda tu washindwe kuitumia wenyewe.
''Sometimes the slow movement of a tiger .. means a calculated accuracy'' Chui anajua ni wapi atembee, wapi alale na wapi akimbie na wapi akamate..kama huyu ni mnyama anaona mbali ivo... sembuse sisi wanaume tena wenye akili?.. mtu ukienda kama zuzu ukifikiri kila mwanamke ni sawa.. tegemea vya mbavu vya kutosha.
The highest RISK is not to take risk.
Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wakikutaka ukiwakatalia wanakununia na kuweka bifu?
Kwamimi naimani ukitongoza utegemee YES or NO (si kila unayemtongoza akubali)
Pia huwezi jua yule unayemtongoza akakukatalia anakuepusha na nini kwani siri ya mtu ni kichaka Pengine anaugonjwa hapendi kukuambukiza, pengine anamahusiano na mtu unayemjua nk...
Sielewi kwanini huwa wengi wao wanakasirika ..
Samahanini labda mnafahamu ni kwanini
kwani wewe una nini cha ajabu hadi uweke masharti magumu hivyo?
If you can't take Risk then your not a good investor.....
Lazma kulipia uchakavu....
swali kwa wanaume gani? Maana mimi sijawahi kukataliwa labda kuwakataa Wanawake wanaonitongoza hata wikiendi hii kuna mdada anafanya kazi bank hapa mjini nimemwambia aniache tiyari nina mpenzi wangu yeye hataki kunielewa anasema yupo tiyari kushare na mimi simtaki ingawa kuna baadhi ya vidume vinamlia timing anawachomolea!!