Swali kwa wanaume

Swali kwa wanaume

Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wakikutaka ukiwakatalia wanakununia na kuweka bifu?
Kwamimi naimani ukitongoza utegemee YES or NO (si kila unayemtongoza akubali)
Pia huwezi jua yule unayemtongoza akakukatalia anakuepusha na nini kwani siri ya mtu ni kichaka Pengine anaugonjwa hapendi kukuambukiza, pengine anamahusiano na mtu unayemjua nk...

Sielewi kwanini huwa wengi wao wanakasirika ..

Samahanini labda mnafahamu ni kwanini

Mimi ukinikataa kwa kuniambia kwamba hutaki kwa sababu huvutiwi na mimi, hapo sitakuwekea bifu, nitakuwa rafiki yako wakati wowote ukitaka.

Wakati mwingine unaweza kutongoza mwanamke mwenye mtoto halafu anakwambia yeye ni bikkra huwa hafanyagi, hapo lazima niweke bifu.
 
swali kwa wanaume gani? Maana mimi sijawahi kukataliwa labda kuwakataa Wanawake wanaonitongoza hata wikiendi hii kuna mdada anafanya kazi bank hapa mjini nimemwambia aniache tiyari nina mpenzi wangu yeye hataki kunielewa anasema yupo tiyari kushare na mimi simtaki ingawa kuna baadhi ya vidume vinamlia timing anawachomolea!!

Mhh mkuu ukoje kwan hadi unakuwa marketable kiac icho, na mimi bac nkutongoze
 
Mwanaume anatakiwa aone mwisho mwanzoni kabisaaaa!!! Kama ukimwangalia mwanamke huoni mwisho wa unachotaka kuanza usianze. Wanaume wamepewa hio ''instinct'' ya utambuzi na kuona mbali lijapo swala la wanawake. labda tu washindwe kuitumia wenyewe.

''Sometimes the slow movement of a tiger .. means a calculated accuracy'' Chui anajua ni wapi atembee, wapi alale na wapi akimbie na wapi akamate..kama huyu ni mnyama anaona mbali ivo... sembuse sisi wanaume tena wenye akili?.. mtu ukienda kama zuzu ukifikiri kila mwanamke ni sawa.. tegemea vya mbavu vya kutosha.

Hili ni lamaana mkuu, yani m2 hajui amtongoze nan amuache nan? Hapa kukataliwa ni k2 kicichoepukika, unakuta mwanamke katongozwa na wanaume 5 kwa cku iv jaman unategemea amkubali nan na amuache nan? Hapo kumbuka c ww wa kwanza kukutana nae.
 
Ni kawaida ya binadamu pale akosapo hitaji la muhimu kwa wakati huo.
 
Hahahaaaa. ukitaka kuikolezea vizuri... angalia simba/chui akiwinda.. unakuta kundi la wanyama say swala mia moja... anaangalia anaona target yake then anakufa nayo. sasa kwa nini asikimbilie yeyote tu yule? Na kwa nini mwanaume amtongoze mwanamke yeyote tu yule? Hata wanyama wanatushinda calculations ina maana?

Hili ni lamaana mkuu, yani m2 hajui amtongoze nan amuache nan? Hapa kukataliwa ni k2 kicichoepukika, unakuta mwanamke katongozwa na wanaume 5 kwa cku iv jaman unategemea amkubali nan na amuache nan? Hapo kumbuka c ww wa kwanza kukutana nae.
 
Mhh mkuu ukoje kwan hadi unakuwa marketable kiac icho, na mimi bac nkutongoze

mkuu hao ni wanawake

nitakushangaa kama unataka kumtongoza dume mwenzio labda uwe gay!!
 
Mie huwa sinuni wala nn,ila ninajipa moyo na kusonga mbele,maana timu ya wanaume ni kubwa ucponipa mie mjumbe,utakutana na katibu we2 atakutandika tu....WANAUMEEEE,USHINDI DAIMA!
 
Sio hasira wala kukununia shida ni hivi,
Wakati anakuandaa kwa tongozo alikuwa anakujulia hali kila baada ya wakati, anakununulia vijizawadi, outings, anakufanyia favours mbalimbali, akaushauri na kuckiliza tuntrum zako hata nyingine za mambo ya kike, kifupi anaelighten ur life and days. Ukajisikia furaha kuwa na "rafiki" kama huyo
Sasa basi kakuonjesha flavour zake ili aone kama uko interested and akaona kidogo una kaushirikiano akaamua kuappy tenda ya kusuply hayo mafavour moja kwa moja. Ukaona sio dili hayo maflavour yake.

Sasa bi dada mwenzio kaenda kumwonjesha mwanamke mwenzio.

Kutokuona text zake, zawadi zake, uwepo wake na outing zake haina maana kwamba kakununia the dude has moved on girl! I suggest u do too! Tatizo we umemkataa lakini favour unazitaka

Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wakikutaka ukiwakatalia wanakununia na kuweka bifu?
Kwamimi naimani ukitongoza utegemee YES or NO (si kila unayemtongoza akubali)
Pia huwezi jua yule unayemtongoza akakukatalia anakuepusha na nini kwani siri ya mtu ni kichaka Pengine anaugonjwa hapendi kukuambukiza, pengine anamahusiano na mtu unayemjua nk...

Sielewi kwanini huwa wengi wao wanakasirika ..

Samahanini labda mnafahamu ni kwanini
 
ww kwanini umnyime mwenzio na wakati wajua anahitaji upendo na huduma yako?ingekuwa ni ww umeomba ksha ukakataliwa ungejickiaje?
 
wala sijali nuna, lia yani tena kama huna vigezo wala ushawishi utajuta aiseeee nakutoa nduki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom