Swali kwa wanaume

Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au mnajidai hamjui.

Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.

anali-ub*o wa kufa mtu....... umejuaje? je na yeye akufikire nini kwani hajakukuta bikira? je wenzako wanakupoumulia mgongoni? mimi ni mwaume lakinia naona hapa ni nkudharauliana, labda unayo ya kwako wtafuta sehemu ya kupumulia, ni inferiority complkex au nini, mwenzetu inawezekana umenyimwa ub*o unayaogopa ya wenzio kwii kwiiii
 
Duu mkuu nadhani ukifikiria hivyo basi huwezi kuowa kabisaaaaaa maana utakuwa unajisikia huzuni tu mke wako utamuona mbaya na hana maana ila hapo cha muhimu kula mambo kwa mke wako kama kawaida sahamu kila kitu!
 
Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.

Hivi hizi BIKRA ni kwa wanawake tu...!? Wanaume hawatakiwi kuoa wakiwa Bikra...!?
 
Kwa tathimi za wadau wakuu wa maswala haya ya mahusiano demu ukimtoa bikra huji muoa wewe wataoa wenzako.....unajua mwanamke anapo anaaanza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi anakuwa hajapewa ufunuo zaidi wa kupenda na kupendwa kadri siku zinavyo enda ndivyo anavyo jifunza nini taamu na nini chungu.Ndo maana wengi wetu wanao wake tayari wamesha kuwa USED.[/QUOTE]

aisee nyie waume hamwishi kuniudhi..... in that same breath ambapo mnaoa wale walio USED nyinyi ndio matambara kabisa....kweli nyani haoni kundule... mara mwatake mabikira, mara mnakuwa lazima muonje to make sure mambo ni sawa ndio muoe!!!! cant have your cake and eat it.. chagueni moja!!!
 
Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.

Inaelekea tayari uko stressed!

Wakati unamwoa hukujua kama bikra imeshatolewa na mwanaume mwingine?
Kama ulijua na bado ukakubali kumwoa, sioni ni kwa nini hili linakupa stress! Wewe mwenyewe ulikuwa 'bikra' wakati unamwoa huyo mwanamke asiye 'bikra'?

Kama bikra ilikuwa ni kigezo cha kwanza na cha muhimu kwako ilitakiwa kabla hujamwoa huyo mwanamke uhakikishe kwamba ni bikra. Kwa vile inaelekea hukufanya hilo, ni wazi kwamba bikra haikuwa kigezo cha muhimu kwako. Sijui ni kwa nini kinakuwa muhimu sasa na si kipindi unataka kuoa?

Ukweli kwamba mkeo hakuwa bikra, alishatembea na mwanaume mwingine, mwanaume alikuwa na nanihii kubwa kuliko yako(!?) huwezi kuuondoa kwa sasa (ni facts!).

Unachotakiwa kufanya ni kukubali kuishi na ukweli huo na kutafuta mambo mengine ambayo yataleta raha kwenye ndoa yako badala ya kufikiria mambo yaliyopita na ambayo huna uwezo wa kuyabadilisha.
 
Last edited:
tatizo bikra za siku hizi hutolewa/huvunjwa mapema sana na mafataki. ni nadra kumkuta binti wa miaka 20 anayo! so isikupe tabu sana. pia sikushauri ukawaingilie watoto ili kupata hiyo bikra. pia suala la u**o linaingiaje? na umefahamu vipi?
 
Ni kweli msichana au mwanamke anaweza kutembea (kufanya mapenzi) na mwanaume ambae alishamtoa bikira hata kama huyo mwanamke ameolewa? Kama ni ukweli, je kuhusu mwanaume aliemtoa bikira mke wa mtu (kabla hajaolewa) nae anaweza kutembea na huyo mke wa mtu?
Kama ndio, nini kifanyike?

Mkuu ukimchunguza bata au kuku kwa makini wallah nyama yake huwezi kuila...we fumba macho tu endeleza libeneke kama kawa.
 
Ikena mbona hata hujitetei? Umekaa kimya kama kuku aliyemwagiwa maji? Ama majibu yamekutisha! Dawa ya kuondoa stress umeipata? karibu tena
 
Wanaume wenzangu, embu tujadiliane kuhusu hili swala ambalo kuna mdau aliliuliza kule kwenye blog ya kurekebisha tabia,lakini halikupewa majibu muafaka, sijui kwasababu wengi wenu ni wahanga au mnajidai hamjui.

Swala ambalo hata mimi huenda litakuja kunipa presha baadaye ni; "Jinsi gani unaweza kuondoa stress hasa ukikumbuka MKE uliyenaye hukumtoa bikira,na kuna lijamaa lilimshughulikia mkeo na pengine hata ti*O alipewa wakati wewe unajivunga hutaki na ni dhambi.
Mbaya zaidi unagundua huyo balazuli anali-ub*o wa kufa mtu.

pole sana kwa yaliyokukuta
vumilia ndo ukubwa huo
 
Bikira najua na wewe umeshawaharibia wasichana wengi bikira,wa bikira wa nini, c umeshampenda? alafu haya mambo ya bikira saa hizi tena jamani. Wewe kuwa mwaminifu kwa mkeo mkubaliane mnataka nini ili muwe satisfied kwenye ndoa yenu basi. Mambo mengine ukiyafuatilia utaumia saana.Na yeye akianza kufuatailia yako je?
 
Hapo naongelea baada ya kumuoa.
Kuna tetesi kuwa wanawake huwa hawamsahau aliyemtoa bikira. Sasa ikiwa ndio umemjua huyo jamaa na huenda mnakaa nae mtaa mmoja, kweli njia ya kuondoa stress ni kupiga mzigo tu?

ya kwakweli hapo huna jinsi ni kumvaa mkeo na kumuuliza wkt ukiendelea na uchunguzi maana mitaani nako mambo ya kuzusha ni mengi sana
 
kwanza bikira zenyewe matatizo tupu! si mambo ya kuumizana tuu haya!! na ole wako umpate mwenye nayo siku akionja za mtaani tu anahamia jumla! ni bora ukute kitu kimeshaandaliwa then wewe unaongeza tu marufundi! haya mambo ukitaka kuyachunguza ndio stress zinaongezeka..wewe kabla ya huyo mkeo ulipita kwa wangapui achilia mbali unaopitia wakati uko naye? funga macho endelea kula mzigo..shauri yako utakufa kwa presha bureeeeee
 
Kiteitei heshima mbele... Swali ni endapo yule aliyemtoa BIRIKA ni fundi kuliko wewe... Yaani baada ya kumtoa BIRIKA alikaa naye kwa zaidi ya miaka 2 halafu ndo unatokea MKWEEE wewe ... Roho lazima iume bana!!!
 
Kwa tathimi za wadau wakuu wa maswala haya ya mahusiano demu ukimtoa bikra huji muoa wewe wataoa wenzako.....unajua mwanamke anapo anaaanza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi anakuwa hajapewa ufunuo zaidi wa kupenda na kupendwa kadri siku zinavyo enda ndivyo anavyo jifunza nini taamu na nini chungu.Ndo maana wengi wetu wanao wake tayari wamesha kuwa USED.[/QUOTE]

aisee nyie waume hamwishi kuniudhi..... in that same breath ambapo mnaoa wale walio USED nyinyi ndio matambara kabisa....kweli nyani haoni kundule... mara mwatake mabikira, mara mnakuwa lazima muonje to make sure mambo ni sawa ndio muoe!!!! cant have your cake and eat it.. chagueni moja!!![/quote]
naona una hasira sana dada. can't eat your cake and have it...

naomba kuwasilisha
 
Hizo ni imagination ukimchunguza sana kuku hutamla. Wewe kauka habari za nyuma ziache yaliyopita si ndwele ganga ya sasa na ya baadaye. Kama kuna mtu alifaidi hivyo nani zaidi wewe au yeye? Wewe zaidi si umeoa?
 
Hapo unakuwa umeoa mke wa mwanaume mwenzio!
Siku yoyote wakikutana watakumbushia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom