Swali kwa Wanaume

Duuh!
Mwanangu umelenga mule mule yan
 
Ukiona mwanamke anakwambia hvyo ujue kakudharau na huenda wew mwanamke uko juu kuliko yeye ki wadhifa,..yaan anaona kabisa wew ndo umemshobokea so anakwambia anachotaka
 
Wanaume tunashuhudia mengi wewe....nlishawahi kukutana na K ina meno. Hiyo ndo siku niligundua nina kipaji cha riadha. Tena MARATHON...
Mimi kuna roho inaniambia nifunge uzi niulize maswali kutokana na experince ya K, ka roho kengine kananiambia acha wewe bachelor utakosa mke 😂 😂
 
Ndiyo me and my wife ...

Hatukuwahi kufanya sex before marriage ...

Hata denda ....


Now our son is theodore ...
 
Mimi nimeandika kama shuhuda msema kweli...

Ndio mambo yaliyopo hayo dunia ya sasa, hizo mambo za virginity ni kama zilishapotezewa...
Hii weekend inayoanza namna hii...?? Mwisho wake ni uchomaji wa nyumba za ibada tu...
 

Nimahusiano gani mmeanzisha? Kama mmeanzisha mahusiano ya kibiashara ngwati si muhimi! Lkn km mahusiano ya kimapenzi ngwati ndiyo catalyst.
 
sio kwa kizazi hiki ni ngumu sana
 
Ha ha ha ha ha haaah, hivi huwa mnajifikiria nini kusema hivi ilihali mtu tayari unakuwa umetolewa hadi bikra!?
 
Yah inategemeana na imani na mafundisho km mtu ana hofu ya Mungu hilo ni jambo dogo Sana lakini km hofu ndani aimo ni kazi Sana binafsi mimi naweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…