Swali kwa Wanaume

🙄🙄🙄🤔
 
Tafadhari Mimi sio MC pilipili
 
Na wanawake wasiokuwa na bikira wanakuwa wana ugonjwa huo wa kiakili wa kukosa confidence ya kuwanyima wapenzi wao kabla ya ndoa.

Kwa sababu anaoona kwamba hivi nikimnyima alafu akasubiri mpaka ndoa na akakuta sina bikira je ataonaje?...hapo ndo mwanamke huona bora aachie.kumbe ndo anazidi kujiharibia.kwa sababu sio kila mwanaume nni muowaji,wengi wanatumia gia hiyo kupata ngono tu,hivyo anachotakiwa mwanamke kupima ni kunyima penzi kabla ya ndoa ili aone kwamba huyu mtu ana nia ama mzushi tu.

Lakini iwe pamoja na kumfikishia habari kwamba bhana mimi sio bikira niliteleza hapo nyuma kwa hiyo ukiridhika na hali hiyo nisubiri mpaka ndoa kama hunamini basi njiannyeupe.

Wanawake wakiwa na misimamo hii basi hupelekea kupata mume ambae ana malengo nae kweli kweli.kwa sababu atapata mume ambaye amemkubali mapungufu yake.

Na sio kwamba tunaoana kwa sababu hatuna mapungufu,bali tunaoana kwa sababu tumeyakubali mapungufu.

Njia hii ni salama sana.
 
Kuna wanawake wa aina 2 tumewagawa.
1.Wa kuoa
2.Nimemtamani nataka papuchi tu.
Sasa;
1.Huyu wa kuoa namvumilia coz nami Nina mpango wa kuishi naye,kama ni papuchi atatoa tu dakika za majeruhi.Najua mwanzoni atasumbua tu,ila baada ya kwenda kwao, engagement etc yeye mwenyewe atasema hii hapa dudu yako Kula.

2.Wa kumtamani akikubali halafu anasumbua kutoa papuchi na-mute nampotezea na asinizoee.Natafuta mwingine
 
Sasa mpaka mwanamke unaona mpenzi wako mnywa pombe eti unaendelea kumuamini tu ahahahahhahahaha.daaaaaah hatari kweli.

Kila action lszima iwe na reaction yake tu.
Nikweli lakini sisi wa kiume huwa tuna njia nyingi ambazo mwisho wake unakuaga na haya maneno

Imetokea bahati mbaya sikukusudia ..
Ni Pombe tu haikua akili yangu...
 
Babu Shikamoo.
 
Dear Babu,
Mbinguni utapasikia tu kwa majirani
 
Sasa mpaka mwanamke unaona mpenzi wako mnywa pombe eti unaendelea kumuamini tu ahahahahhahahaha.daaaaaah hatari kweli.

Kila action lszima iwe na reaction yake tu.
Hii haitokei siku za mwanzo hadi mazingira ya uaminifu yatengenezwe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…