Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
- Thread starter
-
- #281
😃😃😃Haha Mimi sipendi 'chini' as i said before mama.
Kama ni tunda bado halijaliwa ntasubiri mpaka ndoa
Lakini kama siyo why aniambie mpaka ndoa.
wakati tunda tiyari limeshamenywa na kuliwa na waume wenza
Kwa bahati mbaya nina mwanaume anayejielewa na ambaye hakariri maisha kama wewe anajua kuwa bikira siyo ticket ya kudumu kwenye ndoa
Sasa ndo nakuhakikishia kwamba kwa Mungu mwanamke aliyezini kabla ya ndoa na mwanaume aliyezini kabla ya ndoa wote wako sawa na wote wana dhambi sasa wewe endelea kujidanganya hapo kuwa eti wanawake ndo chanzo cha wanaume kufanya mapenzi utafikiri mmeshikiwa akili
Kumbuka hata Eva ndo alikuwa chanzo cha Adam kula tunda lakini wote walipewa adhabu kwa sababu alikuwa na uwezo wa kulikataa lile tunda kutoka kwa Eva vile vile hata nyie mna uwezo kukataa vishawishi kutoka kwa wanawake
Na maandiko yanasema aziniye na mwanamke hana akili kwahiyo wanawake kuachia miguu siyo sababu ya nyie kutaka ngono yaani hiyo sababu baki nayo mwenyewe kama utetezi ili ujifurahishe tu lakini kwa Mungu hiyo siyo sababu na haitakaa kuja kuwa sababu
Kwa sababu maandiko yako wazi na yanajieleza nadhani tuishie tu hapa maana naona najibizana na mtu asiyetaka kukubali uhalisia uliopo bali anataka kujipa moyo kuwa anachoamini yeye ndo sahihi endelea kujipa moyo mkuu
It takes diverse views and approaches to respond on the issue.N'na swali dogo tuu hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???
Weekend Nono"..
Uku nyanda za juu kusini bado dakika 2,3
Msalimie dada wa kiiraq...najua atakuwa 👌Uku nyanda za juu kusini bado dakika 2,3
Nimeshajisokeza tiyari kwenye buffee la huyu Dada wa kiiraq tokea arusha uko
Sasa inabidi kwanza mchek DNA ya utundu, sio uingie uanze kusema jamaa sio romanticUkimpenda si ndio umesharidhika naee?au...
Nakazia hapo kwenye sentensi ya mwisho "kwa sababu mama na baba wote walikuwa mapagama" huko kwingine kote umepuyanga tuAngekuwa anajielewa asingechukua Mtumba, old fashion, pagama wakati kuna wanawake wanaojielewa waliojitunza.
Alafu swala sio kudumu kwenye ndoa. Suala ni kuwa Ukoo unaouanzisha unatokana na Mama msafi, Mwaminifu, Asiyenajisi na mwenye kujua thamani ya mwili wake.
Sio unachukua jianamke lisilojua hata thamani ya bikra ambalo litaufanya ukoo wako uwe najisi, Ukoo wa Zinaa, Ukoo usiojua thamani ya bikra kwa sababu Mama na Baba wote walikuwa Mapagama.
Hapana.N'na swali dogo tuu hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???
Weekend Nono"..
Wewe ni dini gani kwanza? Maana kwa wakristo hukumu ya wazinzi ni moto wa milele baada ya kiama bila kujali jinsia achilia mbali huku duniani maana huku hakuna adhabu yoyote kwa sababu tunaishi kwa rehema na neema za Mungu naye anatusamehe sana tu ila siku ya hukumu wenye dhambi wote ndo wataangamizwaKama kwa Mungu wote ni sawa mbona adhabu inayotolewa ni tofauti. Hujui hata unalolisema.
Wewe ndio uendelee kujipa moyo kwa uchafu na kumpa mumeo makombo na kumpa Mikosi. Najua hata watoto wako wa mtumba nao watafuata tabia ya Mama yao. Kwa maana Mtumba huzaa mtumba.
Mpe pole Bwana Mitumba aliyekuweka ndani. Mwambie yeye ni shujaa.
Utakubali?Hapana.
Lol😅Sasa inabidi kwanza mchek DNA ya utundu, sio uingie uanze kusema jamaa sio romantic
Hapana.Utakubali?
Eeeh, uridhike na maujanja na size pia, hajahaha,,,
Huachiiii😄Eeeh, uridhike na maujanja na size pia, hajahaha,,,
Utakataa???Hapana.
Huenda unanipima tu, lakini baada ya mda kitalika tuHuachiiii
Thio rahisii😎Huenda unanipima tu, lakini baada ya mda kitalika tu
Labda uwe bikira,Thio rahisii