Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga dadaako kwamba awadanganye wazazi
kama atakuja rafiki yake (dem wako)
atakaa home kwenu kama wiki
moja.Dadaako anakubali ombi lako, kweli
dem anakuja halafu usiku anakuja kulala chumbani kwako bila wazazi kujua. mpaka wiki inaisha anaondoka
home huku wazazi wakijua alikuwa rafiki
wa dada ako.
Sasa baada ya siku mbili dadaako nae
anakwambia ana bwana ake anataka kuja nawe ujifanye rafiki yako alafu usiku kama kawa anaingia geto kwa sista!
Ungekubali?