Mkuu hawezi akanishinda hata siku moja. Niko fiti sana kwa upande wangu sijui wewe huko.
Kama haujiamini katika mapambano unajitahidi unatafuta means nyingine ya kumshinda Mkuu.
'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.
Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.
Nadhani nimeeleweka.
Sio katika mambo yote mkuu but mtu akileta dharau kama scenario zako zinavyosema siwezi vumilia. Mwanaume wa kweli lazima utoe adhabu ya kweli Mkuu ili kulinda heshima yako man.Mwanaume anakuja kulala kwenye kitanda chako halafu wewe unataka kumuacha kisa uonekane mstarabu mbele ya macho ya watu. Hainiingii akilini kwa upande wangu.Bado unaamini katika kupigana kama njia ya kutatua tatizo?
Sio katika mambo yote mkuu but mtu akileta dharau kama scenario zako zinavyosema siwezi vumilia. Mwanaume wa kweli lazima utoe adhabu ya kweli Mkuu ili kulinda heshima yako man.Mwanaume anakuja kulala kwenye kitanda chako halafu wewe unataka kumuacha kisa uonekane mstarabu mbele ya macho ya watu. Hainiingii akilini kwa upande wangu.
Wote wana makosa.Mwenye kosa ni mwanaume au mkeo aliemleta?
Nani kakuambia kuwa ukimpiga ndo unalinda heshima yako?
Ukikaa kimya nini kitatokea?
maamuzi ya haraka ni kufungua friji.. unavuta castle lager.. unawasha TV.. unaangalia huku ukiwa unatafakari kinachofuata.. situation kama hizo sio za kukurupuka unatafuta kisu kiko wapi, uanze kumchoma yupi... Maamuzi ya busara huja ukiwa sober, maamuzi ya busara zaidi huja baada ya kunywa bia.
Wote wana makosa.
Ukimuekea alama ya ukumbusho atakuwa anatoa salute Mkuu akiona. Ukikaa kimya atajithibitishia kuwa wewe ni boya ndiyo maana mwanamke anakuletea dharau mpaka kuingiza wanaume home kwako.
Kiukweli huezi kufumania mke wako unaempenda ukawa mpole aisee labda uwe umemchoka sana na ulikuwa unatafuta namna ya kuachana nae. Hapo unaweza kuwa kimya.
if you were really down with her, you might be provoked.
ukiona hasira inakuzidi nguvu tafuta bia tu, piga mbili kwanza kichwa kikae sawa halafu ongea na mtu aliekukwaza, lazma muafaka upatikane kwa amani kabisa.. hata ukikwazana na mama watoto kapige bia rudi home, ukimwona lazma utamshushia mabusu, atabaki anashangaa tu..Hahaha. Umetisha. Inaelekea wewe sio mzee wa mihemuko na maamuzi ya pupa.
Na ikitokea huyo muhusika anakuzidi nguvu na ujanja?
Anze wewe utafanyaje??'Scenario' namba moja: