ndalibanyo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 431
- 432
ntamwambia kuanzia leo nabaki njia kuu. akinizaba makofi potelea mbali.
Alafu mtu akifumaniwa au kushitukiwa hata kama atakuwa kanali jeshini anakuwa mdogo kama punje ya ulezintamwambia kuanzia leo nabaki njia kuu. akinizaba makofi potelea mbali.
Mkuu kumbuka wife alikusindikiza adi uwanja wa ndege kabisa na ndege ulotarajia kwenda nayo ndo hiyo ishapotea..
Ila kwa wanawake makini kama mimi utanieleza vzr haswa ukiwa nakujua vyema kuwa si mnunuaji zawadi wala surprises sio style yako
Sawa kabisa tena kama hana sauti juu yako atafurahi sana kupata zawadi ya kitenge WAX original
Mkuu kumbuka wife alikusindikiza adi uwanja wa ndege kabisa na ndege ulotarajia kwenda nayo ndo hiyo ishapotea..
Just imaginations tu..sote tunajua kuhusu ndege iliyopotea. Hivi ingekuaje umemwongopea mkeo unasafari kakusindikiza vizuri tu mpaka airport.!!baada ya mkeo kuondoka unageza kumbe ukua na nia ya kusafiri wala nini unageuza mayb unaenda zako nyumba ndogo iliyoko hapohapo town..sasa kimbembe kinakuja kama hivi ndege imepotea siku ya nne wife nyumbani anajua hiyo ndo ndege ulopanda kwahiyo kaamua kuweka msiba,ndugu wote washa fahamishwa kuhusu kifo chako..mfano sasa ingekua wewe ndo kishanuka kama hivi ungesolve vipi huu msala...????
hawezi kuweka msiba bila kuwa na uhakika. atakwenda airline na watamwambia haukuwepo kwenye ndege wala kwenye list ya abiria. atajua umechepuka. NDEGE SIO KAMA BASI LA MOROGORO KUNA RECORDS.
Hapa tunaongelea mathalani si ndio hivyoIngekuaje sasa kunabaadhi ya abiria ulipanda nao na kweli wamepotea..
Narudi hom nikiwa nimenyonga sharubu, kisha namwambia wf YA MUNGU MENGI,finish.:tape::tape::tape:
nitaomba nioneshwe tiketi za safaribe creative, nitarudi nyumbani na nitamweleza "sikusafiri ila nilienda Kenya kukununulia zawadi kubwa ya kuku-surprise, lakini baada ya kusikia kupotea kwa ndege uliyodhani nimo ndani yake, niliamua nirudi kwanza ili nikueleze ukweli na ujue niko salama salmini." (kama nahisi atani-doubt, basi nitamwendea na zawadi yenyewe)
nitaomba nioneshwe tiketi za safari