Swali kwa wanaume wa jf

Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!

Auntie, shida ipo kwenye hizo picha zenu kwenye Avatar, je ni picha zenu halisi??😁😁😁, wanaume wengine wanaangalia kwanza "nyago" mengine hufuatia baadaye.
 
Mwanamke akikaa wiki hajatongozwa anajishtukia, sasa wewe unapata bahati unalalamika!
 
Twende kwenye mada.

Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?

Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.

Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!

Kwanza wewe siyo mwanamke mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…