Swali kwa wanaume tu

Swali kwa wanaume tu

Tulishakubaliana zawadi ni vest,boxer, na leso. Ukiongezea na tusox twa buku hapo mambo saaafi kabisa.
 
Mnunulie viatu shati au suti saa unyunyu then mpeleke date sehem yoyote yenye utulivu agizeni chakula kizuri baada ya apo ingieni Photoshop pigeni vipicha viwili rudini night Kali .. naimani tukio ilo hatolisaau .. usishangae izo picha akaziweka dp kuwalingishia wazee wenzie ..
 
Naombeni ushauri kweli ndugu zangu. Natamani mpenzi wangu afurahi sana potelea mbali
1. Angalia hobi zake. tembea humo

2. Wengi wanapenda vitu vyenye kwenda na umri wao. Unajuwa hawa si watu wa vizawadi sana. Jaribu saa
 
Mnunulie full package ya kufanya mazoezi na uanze kumpeleka jogging jioni kando kando ya barabara ya mitaa iliyotulia.
 
Back
Top Bottom