Swali kwa wanaume tu

Swali kwa wanaume tu

Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume Age 50plus

Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Umri huo Hana shida sana za kiuchumi.
Ila zawadi itakayomfaa mnunulie Suti,viatu,boxer na socks TU basitena peya mbili ili awe anabadilisha.
Atakupenda mno.
Hata ukitoka nae anaonekana avalia hizo nawe Utafurahi
 
Comments za humu zinaonesha watoto ni wengi sana humu JF. Yaani mtu mwenye 50+ wanamuona Mzee wakati wengine hao ndio washkaji zetu.
 
Comments za humu zinaonesha watoto ni wengi sana humu JF. Yaani mtu mwenye 50+ wanamuona Mzee wakati wengine hao ndio washkaji zetu.
Na wewe si Una 50+ lazima wawe washkaji zako.🤣😜😜
 
Tulishaachana
Yaani nimecheka 🤣🤣 imebidi nirudi front page kuangalia kwani huu uzi ni wa lini nikadhani ni zile zinazofukuliwaga za mwaka 2012 🤣

Kwahiyo pamoja na kujipinda na fremu za miwani orijino bado haikusaidia..?🤣🙌
 
Hiyo ndiyo zawad kubwa yenye thamani kwa,mwanamke kumpa,mwanaume,shame on you!
 
Yaani nimecheka imebidi nirudi front page kuangalia kwani huu uzi ni wa lini nikadhani ni zile zinazofukuliwaga za mwaka 2012

Kwahiyo pamoja na kujipinda na fremu za miwani orijino bado haikusaidia..?
I tried
Napendwa na wengi
 
Back
Top Bottom