Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Vipo vitu vingi ambavyo unaweza kumnunulia ambavyo hawezi kukusahau.tuanze na vitu vidogo:chupi,soksi,henkachifu au mkanda wa suruali.vitu vikubwa:mashati,suti,viatu au saaZawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Acheni mzahaMuulize yeye anapenda zawadi gani na atakuambia, au wwe kwa sababu unamjuwa mchagulie kitu anacho penda! Mi ningekushauri umpee mdada wako Wakazi just for a knight, na utaona atakavyofurahia zawadi yake!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Jicommit hutagusa pensheni yake..Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
We achana na zawadi hatuzihitaji tunahitaji muda wako tu na show kali na kuacha mizinga plus heshima basiZawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Tena frem ya miwani kweli imeharibikaPeleka picha ake wamchore iwekwe kwene frem kubwa nzuri, mnunulie sandals Og nzuri, kama anavaaa miwani mnunulie na frem mpya
Sorry una miaka mingapiZawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Mnazionea wapi?Mnh mnh mnh.
Kama ni dereva wa boda apewe boksa na losheni tumechoka kuona tutako tumepauka na boksa zimechanika.
Mnunulie msuli na kiko(mtemba wa kuvutia goso).Akiwa amepumzika anaambatana na hizo zawadi.Umesema ni 50+ siyo?Naombeni ushauri kweli ndugu zangu. Natamani mpenzi wangu afurahi sana potelea mbali