V8Unajua gari anayotumia??
V8Unajua gari anayotumia??
Huwa hana tabia mbaya .ananipenda mimi tuMuulize yeye anapenda zawadi gani na atakuambia, au wwe kwa sababu unamjuwa mchagulie kitu anacho penda! Mi ningekushauri umpee mdada wako Wakazi just for a knight, na utaona atakavyofurahia zawadi yake!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mwanaume 50+ utavaaje boxer! Unavaa chupiSaa kama ni mvaaji, perfume kama ni mtumiaji..
Boxer na soksi is vereee out of date.
Mke wa Ronaldo kamnunulia Escalade nyie wamatumbi mnafeli wapi jamani?Saa kama ni mvaaji, perfume kama ni mtumiaji..
Boxer na soksi is vereee out of date.
Kila siku namdetoxifyMnunulie dawa za kisukari just in case maana mautamu unayompa muda si mrefu hayatamuacha salama![]()
Pressure naona sio sana.Jinga sana wewe 🤣🤣🤣🤣
Na pressure
AsanteAisee!, Enjoy tu hakuna namna.
Wanangu wako chuoTembea na mwanae ataona unawajali.
Hivi kiuno huwa kinafanywaje? Me huwa nalala tuMpe uno wewe. Ila kampime sukari kwanza.
N8 DM nikupe mwongozoNa sisi tumo jamani tunapiga chabo.
Mpe tigoZawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Jamani nyieMwanaume 50+ utavaaje boxer! Unavaa chupi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mpe uno wewe. Ila kampime sukari kwanza.
Unataka picha ya zawadi au ya boyfriend wa miaka 50?Uzi bila picha haufai