Swali kwa wanaume na wanawake

Swali kwa wanaume na wanawake

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
72,009
Reaction score
177,315
"Jamani jamani jamani mwenzenu uwii! balaa tupu huku,naomba kujua ni nini husababisha au kuna tatizo gani labda.Ni hivi mlamu wenu ana hali flani ambayo inanitisha kwakweli. Yani dudu yake nahisi muda wote inakua imesimama dede maana nikimsogelea au akiniona tu hata kama tumetoka kufanyana muda huo huo mlingoti huo.

Pia pindi tunapokua tunafanyana anaweza pizi lakini asiichomoe mashine pangoni kama dakika kadhaa hivi,haaaaa haipiti mda mrefu nashangaa gemu linaanzishwa tena na tena na tena, mpaka mimi niseme basi nimechoka labda na akiichomoa hapo dudu linakua limesimama as usual but analazimika kuliweka lipumzike hivo hivo au mpaka akae muda flani hivi kulituliza.

Pamoja na hayo yote huwa anaenda mda mrefu sana yani mpaka naishiwa pozi na kuomba poo. Je nini husababisha hali hiyo, maana inatishia usalama kabisa."Hayo ni maneno ambayo shogangu mmoja alikua akilalamika na kuomba ushauri na kuuliza maswali pindi tunaongea.

But mimi sikuwa na majibu exactly, ndomana Mahondaw nikaleta kwenu. Ila kama ni dawa mtatuua aisee.

Nawasilisha kwa niaba.
 
Ila si ndo wanawake walio wengi wanapenda suguliwa hivyo? Maana sasa hivi ukipiga dakika mbili ukachomoka nakwambia hata kufutwa mashine hufutwi ni unasukumwa tu uondoke. Na hali hiyo inapelekea wanaume wengi kupiga ma viagra na ma vitu mengine.
 
manuu

Mi nmeulizwa tuu nkawa sijui nimjibu nini kumbe ndoivo!!!!! haaaaaaa!!! basi shoga atakiona cha mtema mtema kunde
 
Last edited by a moderator:
mi nmeulizwa tuu nkawa sijui nimjibu nini kumbe ndoivo!!!!! haaaaaaa!!! basi shoga atakiona cha mtema mtema kunde
Nimekuelewa si wewe ila hata we waweza tu vaa viatu vya huyo best ako maadam ni wakike kama wewe ukajibu....kama we wapenda 1minute men ama yule akeshae.
 
Nimekuelewa si wewe ila hata we waweza tu vaa viatu vya huyo best ako maadam ni wakike kama wewe ukajibu....kama we wapenda 1minute men ama yule akeshae.

sio mimi banah ni shosti..kasumba kama hii ikinikuta mi ntafunga nikiomba mungu tu mana mmhhmm ni msalaba!
 
Si ndio mnapenda dizaini hiyo wanawake!
Hakuna dawa hapo ni kuvumilia tu!
Ila akumbuke kuna wanawake wenzake wakisikia hivyo watamuonea wivu na kutaka kuhakikisha kwa Huyo jamaa!

Awe Makini!
 
Aiseeeeee........
Najaribu kutazama ili niweze kuona kile ulicho kiandika
 
Si ndio mnapenda dizaini hiyo wanawake!
Hakuna dawa hapo ni kuvumilia tu!
Ila akumbuke kuna wanawake wenzake wakisikia hivyo watamuonea wivu na kutaka kuhakikisha kwa Huyo jamaa!

Awe Makini!

too much is harmful ujue hata kama
 
Si ndio mnapenda dizaini hiyo wanawake!
Hakuna dawa hapo ni kuvumilia tu!
Ila akumbuke kuna wanawake wenzake wakisikia hivyo watamuonea wivu na kutaka kuhakikisha kwa Huyo jamaa!

Awe Makini!

too much is harmful ujue hata kama ni kipaji toka moyoni ni hatari sanaa!
 
Back
Top Bottom