Okey , ngoja nikujibu mimi hapa. Ipo hivi, Kwanza kabisa ni kweli kuna wanawake watamu na ambao sio watamu, Lakini kuna msemo wa kiswahili unasema "Utamu wa Pipi ni Mate yako" So, utamu unatofautiana kwa mantiki kwamba mwanamke anaweza akawa mtamu kwa huyu na asiwe mtamu kwa Yule, Kutokana na sababu mbalimbali lakini pia mwanamke anaweza akawa mtamu leo na asiwe mtamu kesho..
Kuhusu utamu ni kitu gani haswa, naomba nikwambie kwamba utamu ni vitu vingi sana na vinatofautiana kwa kila mtu nitataja vichache (Tightness, Joto, Maji , ringtone, mikogo, ufundi, Mnato, Usafi na Harufu, ubunifu, na vingine vingi)
Kuhusu swali lako la pili kama mtu kuwa mtamu itamfanya adumu kwenye mahusiano , Jibu ni Hapana. Kudumu kwenye mahusiano au ndoa Hakuhusiani kabisa na mwanamke sijui kuwa mtamu au kuwa mzuri. Mambo yanayohusika ni mengine mengi tofauti kabisa. Japo vijana ambao hawapo matured enough watakuja na kusema hapa kwamba utamu au uzuri ndio kila kitu.