Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

Swali Kwa wanaume kama una mbususu usijibu🚫?

Uchapakazi na bidii ni hulka ya mtu.
Ila wanawake wa Kaskazini wengi ni wajanja na sio wavivu.

Hizo sifa nyingne inategema na Mwanaume una hela kiasi gani.

Ukiwa na Hela nying za kumtunza mwanamke bas kiwango cha hayo mengine huwa kikubwa.

Na vice versa is true.
 
TUKIACHANA NA Tabia ya mwanamke mmoja mmoja ni wanawake wa kabila gani ni wachapakazi, wanajua mchezo mtamu vizuri, wanajua ku care, alafu watulivu wakikupenda kweli?

Jibu direct usilete ungese🚫😎✌️😎
Wanawake wakisambaa 100% nimekuwa nao kama 30 hivi wengi wako hivyo mimi ndio nilikuwa nazingua.
 
Mtoa post kwanza tujue wewe jinsia gani?Mana umemalizia kama vile unajinsia mbili
 
Back
Top Bottom