Swali kwa wanaJF

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
204
Wanazuoni Nina maswali mawili.
1: Mtu akimtaliki mkewe halafu baadae yule mtu akafariki, je yule mwanamke ataitwa mjane??
2; Mwanamke alietalikiwa halafu akaolewa na mume mwingine , je huyu ataitwa mjane iwapo mumewe wa kwanza amefariki baada ya kuachana na kuolewa tena??
Mnijibu kwa Uhuru kwa sheria yoyote iwe ya kidini au kimila au kiserikali..
 
Ataitwa mtalaka wa fulani baada ya kutalikiana, endapo mume akafariki ataitwa mtalaka wa marehemu fulani
 
Lazma ataitwa mtalaka wa flan kwa sababu mume wa kwanza ndo anatambulika
Endapo watakua wamefunga ndoa
 
Back
Top Bottom