swali kwa wana jf wote

swali kwa wana jf wote

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Ni nani kwa Tanzania hii unataka na kupenda uwe naye katika mahusiano ya kimapenzi naye..
Awe mwamaume au mwanamke aidha ni mwanasiasa, au msanii au mwanamuziki, au mwandishi wa habari au mwanamichezo au mwanamitindo
Binafis ni belinda mgeni wewe je?
 
Abduleli Mengi! (Hahahaaaaaa! Vijana ndo taifa la kesho!)
 
Mke wangu ananitosha! Mama Akanganyila aka Neema! Si ustaarabu mtu kushindwa kukisifu kilicho chake; labda kwa wale ambao bado wanasaka wenza. ... Ebu niondoke niende CCM kirumba kwani naye anapanda Jukwaani leo kwenye tamasha la uimbaji.
 
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom