swali kwa wana chit chat wote

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Mfano umeendesha gari ghafla kuna mtu kakugonga kwa gari lingine kushuka na hasira zako unakuta ni mdada bonge la mdada mrembo ana kila kitu kakamilika kila idara **** **** shepu anayo kiuno dondola nywele za kibrazil ila ni sio za mmasai hatumii mkorogo ila ni mweupe na hiii ni baada ya kujihakikishia kuwa ni fanta juu mpaka chini mweupen usoni hadi kwenye vidole vya mguu, sauti kama ya wema sepetu, gari alilokukwaruza nalo ni bmw x5 qn

Anakutajia majina yake jina la tatu lina ring bell kichwani kwako kwani ni la mzee alyewahi kuwa waziri unagundua yupo single (Kwa wanaume)

(Kwa wanawake)unakutana na mkaka huyooo mrefu chest chest misuli kwa sana mdomoni o ya nguvu kavaa shati na suluari za zara kiatu cha italy origial kama ziuzwazo na mboni masimba, kanin'giniza kitambulisho ukisoma vizuri unaona neno director ukiangalia vizuri ni wb world bank sauti matata gari alilokukwangulia nalo ni e vogue
Unagundua hajaoa na hana mchumba

Je utamkazia akutengenezee gari lako au utajifanya una manners ili akupe credit kuwa wewe ni mstaarabu ili umuweke kwenye anga zako?
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,489
2,000
Mie nakmaa nae kwanza tuelewane bei ya matengenezo ya ki Starlet changu old model, tukishamalizana ndo naanza kutaka kumfahamu, aki mind poa tu aende na maisha yake na mie huyoo kwetu kwa mnyamani
 
Mtu mzima hutaki kuchukua point kwa mtoto mkali?
 
amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
170
inawezekana demu ni mkali na mimi ninaposhuka ni bonge la handsome kwa ujinga wake atalichukuwa na kulipeleka kwa mchina ili apate kuwa na credits za mimi kuwa naye
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Kama ni kuchukua point ntachukua baadae ila lazima kwanza nikamilishe mambo ya msingi

Kuchukua point kwa mtoto pia ni jambo la msingi kwani ukiwa nae unaweza nunua gari kali kuliko hiko ki starlet kako
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,786
2,000
Mfano umeendesha gari ghafla kuna mtu kakugonga kwa gari lingine kushuka na hasira zako unakuta ni mdada bonge la mdada mrembo ana kila kitu kakamilika kila idara **** **** shepu anayo kiuno dondola nywele za kibrazil ila ni sio za mmasai hatumii mkorogo ila ni mweupe na hiii ni baada ya kujihakikishia kuwa ni fanta juu mpaka chini mweupen usoni hadi kwenye vidole vya mguu, sauti kama ya wema sepetu, gari alilokukwaruza nalo ni bmw x5 qn

Anakutajia majina yake jina la tatu lina ring bell kichwani kwako kwani ni la mzee alyewahi kuwa waziri unagundua yupo single (Kwa wanaume)

(Kwa wanawake)unakutana na mkaka huyooo mrefu chest chest misuli kwa sana mdomoni o ya nguvu kavaa shati na suluari za zara kiatu cha italy origial kama ziuzwazo na mboni masimba, kanin'giniza kitambulisho ukisoma vizuri unaona neno director ukiangalia vizuri ni wb world bank sauti matata gari alilokukwangulia nalo ni e vogue
Unagundua hajaoa na hana mchumba

Je utamkazia akutengenezee gari lako au utajifanya una manners ili akupe credit kuwa wewe ni mstaarabu ili umuweke kwenye anga zako?

mapenzi na marekebisho ya gari ni vitu viwili tofauti kabisaa ukijifanya wamaloveee hutengenezewi kigari chako ila kwa mwanaume hata kama umemgonga bishosti nitamtengenezea tu hata akiwa anabisha... na kama ni mdada lazima atengeleze gari langu aaahaa...
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
mapenzi na marekebisho ya gari ni vitu viwili tofauti kabisaa ukijifanya wamaloveee hutengenezewi kigari chako ila kwa mwanaume hata kama umemgonga bishosti nitamtengenezea tu hata akiwa anabisha... na kama ni mdada lazima atengeleze gari langu
Safi sanaa
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
10,387
2,000
Mfano umeendesha gari ghafla kuna mtu kakugonga kwa gari lingine kushuka na hasira zako unakuta ni mdada bonge la mdada mrembo ana kila kitu kakamilika kila idara **** **** shepu anayo kiuno dondola nywele za kibrazil ila ni sio za mmasai hatumii mkorogo ila ni mweupe na hiii ni baada ya kujihakikishia kuwa ni fanta juu mpaka chini mweupen usoni hadi kwenye vidole vya mguu, sauti kama ya wema sepetu, gari alilokukwaruza nalo ni bmw x5 qn

Anakutajia majina yake jina la tatu lina ring bell kichwani kwako kwani ni la mzee alyewahi kuwa waziri unagundua yupo single (Kwa wanaume)

Nitamwambia hakika wewe ni mrembo.
Kisha nitamwambia kwa heshima na taadhima naomba ukaninyooshee Gari yangu uliyonigongea kwa uzembe wako kabla sijaita Trafiki.
 
Donn

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,435
2,000
Hapo naenda nae sawa... Gari atatengeneza tu.... Alafu baadae kama tukimove step ya pili ya urafiki itakuwa utani tu... Kama tukiishia hapa basi sina hasara...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom