Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Mambo mengine?
yatafuata baadaye
Mambo mengine?
Ya kuhongwa..?? Umesoma post yangu vizuri?
Post nimeisoma na comments zote ndio nikachangia,sasa hiyo gari kaitoa wapi kama sio kwa kuhongwa,hata kama baba yake ni wazili sijui nani kwani hawezi kuhongwa...Tena hawa watoto wa wanaojiita vogogo huwa nawatamani kweli sijawapatia sababu tu...
Gari na uhandsome wake haviingiliani. Kwanza sitashoboka nae kwa hapo ataingia line mwenyewe tukianza mawasiliano ya mafundi wanaweka hiki na kile mara ooohh karibu lunch/dinner kitaeleweka tu........
NB: Gari atengeneze kwanza mambo mengine baadae
Naungana na mwana FA "Mwanamme kuwa na hela ni sawa na demu mzuri" na Hata 50 cent alishawahi ulizwa aksema anajihisi yeye ni kama "Demu mkali hivi the way anavyoshobekewa kisa ana mkwanja mrefu"
..Ni kweli..Huwa inatokea lakini
nadai gari mpya staki ilogongwa