NdioKwa hiyo wine co pombe yenyewe ukienda kwa choo yanukia
Inakupeleka NyegeziMe naujua utamu wa wine tu.
Aliyepanda vitz na aliyepanda bmw x7 ni sawa?Halafu kuna tofauti gani mlevi wa chibuku na mlevi wa wine? Wote si walevi tu au kuna jipya
Kwa dharau hao jamaa watakupotezea mazimaHabari wana JF! Kila siku huwa najiuliza starehe ya pombe ni pale unapokunywa au ni pale unakuwa chakalii mpaka wengine wanajinyea? Kwani starehe ya pombe hasa ni ipi maana kwa kweli walevi sometimes mnaboa mkienda chooni choo chote kinanuka pombe, mkipumua ndo kabisa utadhani gari la chibuku limepita.Najua humu kuna walevi wengi sana ndani sasa hebu niambieni starehe ya pombe ni Mapovu ruksa maana nimepiga jiwe gizani