Swali kwa Nape Nnauye tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa Nape Nnauye tu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUMZA, Oct 5, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Unazungumziaje kuporomoka kwa CCM Igunga na kupanda kwa upinzani, hususan CDM huko Igunga, achilia mbali Tanzania kwa ujumla. Tuache blahblah, tujadili ukweli
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,145
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Hawezi kukupa ukweli, ukweli kwa hao magamba ulishawekwa masaburini
   
 3. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari Nape anaona ccm imepanda chati na kujivua gamba ndiko kumesababisha ishinde huko igunga, Hivyo swali hilo unapomuuliza Nape - jibu liko wazi!
  Ngoja tusubiri jibu lake
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,406
  Likes Received: 81,433
  Trophy Points: 280
  Naam katoa kauli kama hiyo kwamba, "Ushindi wao umesababishwa na kujivua gamba na mageuzi ndani ya CCM." Mie sijui gamba wamelivua lini na mageuzi yepi yaliyofanyika ndani ya CCM na yalifanyika lini. Ni bora tu angesema ushindi wao umesababishwa na uchakachuaji mkubwa wa kura uliofanyika usiku kucha.

  Kutoka gazeti la Habari leo:

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kwamba ushindi wake katika ubunge wa Igunga na kata 17 kata ya 22 zilizofanya Uchaguzi Mdogo nchini mwishoni mwa wiki ni uthibitisho kwamba wananchi wameyakubali mageuzi ndani ya chama hicho.

  Chama hicho kimekilaumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kusababisha watu wachache wajitokeze kupiga kura Igunga, kwa kujenga hofu iliyotokana na matukio ya vurugu za chama hicho.

  Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

  "Ushindi wetu wa ubunge katika Jimbo la Igunga na udiwani katika kata 17 kati ya 22, ni uthibitisho kwamba mageuzi tunayofanya ndani ya chama yanakubalika kwa wananchi," alisema Nape na kuongeza:

   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nape anazungumzia Magamba yapi? Kikwete mwenye ni Gamba kwa Watanzania.
   
 6. k

  kipisi Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Ha
  Nape akili yake ni finyu sijui ana elimu gani, ukiangalia matokea ya igunga na sehemu zingine wagombea wa ccm wameshinda kwa kura chache sana,haoni kama hilo ni anguko la ccm,kaa utafakari sio kila siku kuropoka tu, angalia mwenzako january,mwisho nawPa hongera makamanda wote wa cdm
   
 7. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nape kaa chonjo magamba yamekuzunguka hadi M/kiti ni gamba sasa nani atambandua mwenzake.
   
Loading...