Swali kwa Nape, katibu itikadi na uenezi CCM

Jibu moja linatosha kwa maswali yote. Nalo ni kujiuzulu kama ishara ya uwajibikaji kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake. Hivi ni kwa nini Watz ni wepesi kushindwa lakini wagumu kukubali matokeo?

Mkuu ur so fast .....hilo lilikuwa lifuate baada ya majibu kama itaonekana inafaa kwa manufaa ya umma.
 
Heshima kwako Nape:
Sote tunaelewa moja ya kazi za sekratariate katika chama chochote ni kutekeleza maagizo ya mikutano mikuu ya chama.Kama kumbukumbu zangu zipo sawa katika kikao cha mwisho cha NEC katika ya mambo ambayo kiliagiza kufanyiwa kazi ni Kuhusu watuhumiwa wa UFISADI ndani ya chama. Mwenyekiti akatangaza hilo na wewe kama Katibu wa itikadi ukaenda mbali zaidi ukaweka mkakati wa Siku Tisini(90) na ukazunguka karibu mikoa mingi kulipigia chapuo hili na hata pale ilipoonekana unaleta mpasuko kwenye chama ulijitetea kuwa unatelekeleza Maagizo ya Chama.Najua kuwa Kikao hiki cha NEC mbali ya Agenda ya Uchaguzi kilikuwa na Agenda nyingine na hii ni yatokanayo na Mkutano uliyopita.

Swali langu:
1.Je Maagizo yaliyotolewa na Nec yametekelezwa kwa kiasi gani? na kama halijatelezwa na bado wale wote waliotuumiwa kwa ufisadi wanazidi kunawiri na kupeta ndani ya uongozi CCM unawaambia nini watanzania?:crazy:

2. Mwenyekiti Mteule wako amelikemea swala ya CCM kushindwa kufanya siasa na kutegemea Polisi wawasaidie hili unasemaje? ni kweli CCM mlikuwa mnatumia polisi kudhofisha nguvu ya CDM?

Karibu Nape!

Nitajibu kama mwanaCCM.

Kuhusu kuwashughulikia wenye tuhuma za ufsadi the way mnavyotaka nyie zingeleta mpasuko mkubwa sana kwenye chama na nchi kwa ujumla. Tumeshaunda uongozi mpya. Tutashughulikia changamoto moja baada ya nyingine.
 
heshima kwako nape:
Sote tunaelewa moja ya kazi za sekratariate katika chama chochote ni kutekeleza maagizo ya mikutano mikuu ya chama.kama kumbukumbu zangu zipo sawa katika kikao cha mwisho cha nec katika ya mambo ambayo kiliagiza kufanyiwa kazi ni kuhusu watuhumiwa wa ufisadi ndani ya chama. Mwenyekiti akatangaza hilo na wewe kama katibu wa itikadi ukaenda mbali zaidi ukaweka mkakati wa siku tisini(90) na ukazunguka karibu mikoa mingi kulipigia chapuo hili na hata pale ilipoonekana unaleta mpasuko kwenye chama ulijitetea kuwa unatelekeleza maagizo ya chama.najua kuwa kikao hiki cha nec mbali ya agenda ya uchaguzi kilikuwa na agenda nyingine na hii ni yatokanayo na mkutano uliyopita.

Swali langu:
1.je maagizo yaliyotolewa na nec yametekelezwa kwa kiasi gani? Na kama halijatelezwa na bado wale wote waliotuumiwa kwa ufisadi wanazidi kunawiri na kupeta ndani ya uongozi ccm unawaambia nini watanzania?:crazy:

2. Mwenyekiti mteule wako amelikemea swala ya ccm kushindwa kufanya siasa na kutegemea polisi wawasaidie hili unasemaje? Ni kweli ccm mlikuwa mnatumia polisi kudhofisha nguvu ya cdm?

Karibu nape!

asante
 
Mkunga!asante sana kwa kuweka uchama mbele na kujioa hadharani kumsaidia Nape Japo bado umuhimu wa yeye kujibu uko pale pale.
Swali Kwako kutokana na Majibu yako unafikiri yana Tija kwa Watanzania let be honest and serious?Hapo kwenye Red unamaanisha kina nani?Kumbe nyie ndani ya CCM ur very happy and confortable na hiyo hali?Hiyo timu mliyounda itafanya nini ambacho hiyo mliyo ivunja ilishindwa kukifanya kwa uoga au kisingizio kwamba ingeleta mpasuko?
Niishie hapo ni waache wadau wengine wajidadavue coz majibu yako yanaweza kuvuta hisia za watu wengi
 
heshima kwako nape:
Sote tunaelewa moja ya kazi za sekratariate katika chama chochote ni kutekeleza maagizo ya mikutano mikuu ya chama.kama kumbukumbu zangu zipo sawa katika kikao cha mwisho cha nec katika ya mambo ambayo kiliagiza kufanyiwa kazi ni kuhusu watuhumiwa wa ufisadi ndani ya chama. Mwenyekiti akatangaza hilo na wewe kama katibu wa itikadi ukaenda mbali zaidi ukaweka mkakati wa siku tisini(90) na ukazunguka karibu mikoa mingi kulipigia chapuo hili na hata pale ilipoonekana unaleta mpasuko kwenye chama ulijitetea kuwa unatelekeleza maagizo ya chama.najua kuwa kikao hiki cha nec mbali ya agenda ya uchaguzi kilikuwa na agenda nyingine na hii ni yatokanayo na mkutano uliyopita.

Swali langu:
1.je maagizo yaliyotolewa na nec yametekelezwa kwa kiasi gani? Na kama halijatelezwa na bado wale wote waliotuumiwa kwa ufisadi wanazidi kunawiri na kupeta ndani ya uongozi ccm unawaambia nini watanzania?:crazy:

2. Mwenyekiti mteule wako amelikemea swala ya ccm kushindwa kufanya siasa na kutegemea polisi wawasaidie hili unasemaje? Ni kweli ccm mlikuwa mnatumia polisi kudhofisha nguvu ya cdm?

Karibu nape!

mbona mnahangaika ivi wandugu,maana mlikua mnapika propaganda humu kua mkutano mkuu wa ccm this time utafeli kwakua kuna mgawanyiko mkubwa wa makundi na bla blah kibao huku mkisema mwenyekit hatarudi,sasa wamerudi na secretariat imeteuliwa mmehama tena na kuja na ajenda za miaka ile,sasa nape yupo hatawajibu na hakuna kujiuzulu ni mpera mpera mpaka 2015,endeleni kupika majungu na propaganda za kitoto ccm chama dume,mffyuuuuuuuuuuuuuu
 
fergusonema: Jielekeze kwenye hoja ya msingi kiongozi haya ni maswali ya kawaida kabisa wala hayaitaji jazba kama una majibu ni kubandika tu kumbuka kuwa hii ni Forum ya Jamii ambayo tunaitumia kupashana habari kuhusiana na mambo mbali mbali, kuna na wenyeuwezo wa kuuliza kwa manufaa ya wote na wenye majawabu au waliopewa mamlaka wanawajibika kujibu ili wananchi wapate kujua. Hatuwezi kutumia majukwa ya siasa kuuliza coz huwa atupewi nafasi mbali ya mgombea kuongea mwenyewe.

Asante kwa kuonyesha uungwana wako na uelewa wako.
 
Heshima kwako Nape:
Sote tunaelewa moja ya kazi za sekratariate katika chama chochote ni kutekeleza maagizo ya mikutano mikuu ya chama.Kama kumbukumbu zangu zipo sawa katika kikao cha mwisho cha NEC katika ya mambo ambayo kiliagiza kufanyiwa kazi ni Kuhusu watuhumiwa wa UFISADI ndani ya chama. Mwenyekiti akatangaza hilo na wewe kama Katibu wa itikadi ukaenda mbali zaidi ukaweka mkakati wa Siku Tisini(90) na ukazunguka karibu mikoa mingi kulipigia chapuo hili na hata pale ilipoonekana unaleta mpasuko kwenye chama ulijitetea kuwa unatelekeleza Maagizo ya Chama.Najua kuwa Kikao hiki cha NEC mbali ya Agenda ya Uchaguzi kilikuwa na Agenda nyingine na hii ni yatokanayo na Mkutano uliyopita.

Swali langu:
1.Je Maagizo yaliyotolewa na Nec yametekelezwa kwa kiasi gani? na kama halijatelezwa na bado wale wote waliotuumiwa kwa ufisadi wanazidi kunawiri na kupeta ndani ya uongozi CCM unawaambia nini watanzania?:crazy:

2. Mwenyekiti Mteule wako amelikemea swala ya CCM kushindwa kufanya siasa na kutegemea Polisi wawasaidie hili unasemaje? ni kweli CCM mlikuwa mnatumia polisi kudhofisha nguvu ya CDM?

Karibu Nape!

Kwa haya maswali magumu Nape hana la kujibu. Ila nawapa hongera kwa kumrejesha mzee Mangula, ila Fisadi Kinana hana jipyaa na si msafi kivile. Mikono yake ni michafu kwenye vitalu vya uwindaji na kusafirisha wanyama pori nje.
 
uKweli ni kwamba Nape hawezi kujibu hayo maswali. Kwanza ana mawazo makubwa kaongezewa mzee mwingine anayeitwa Mangula. Huyu hata alipoambiwa atoje speech alitoa speech ambayo hata mwenyekiti alishangaa. Tena mbaya zaidi akaanza kwa kumshukuru mwenyekiti, kamati na kisha eti akasema anamshukuru Mungu. Huyu ni njaa ya kisawasawa. Kama wakati ule wa 2005 hakuwa wa maana, ni kitu gani kitamfanya kuwa wa maana sasa? Mwoneeni huruma NAPE.
 
Back
Top Bottom